Jambo la aibu lililonitokea usiku wa jana wakati nafanya tendo la ndoa na mke wangu

Wee jichekeshe tu yaani bora tuongelee siasa au international news kama Nalendwa.

Vipi hali ya siasa ya mataifa ya mrengo wa kushoto unionaje ?

Unahis haya majarbio ya silaha ya nyuklia za korea kaskazin inaweka kwenye nafas gan yale mataifa jiran kama urusi na china na korea kusin?
c.c Daby

Mie najua majaribio ya makombora ya rungu tu na inavyowaweka wifi zangu na kaa zangu katika nafasi mbaya.


Hahah!, Daby, Bonny na dada yenu hamuishi vituko..



Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom