Jambo jema: Hayati Magufuli alikabidhiwa CCM ikiwa na mpasuko mkubwa lakini ameiacha ikiwa moja na Imara zaidi

Sawa kabisa
 
Na hichi ndicho kinacho wakera upinzani kuliko kitu chochote, CCM moja kwa kila mwanachama.
 
Unatafuta ugomvi na Msoga Gang! Wao Magufuli wanamuona kama mpinzani.

JamiiForums mobile app
 
Wazee wa legacy tunakoment wap????
 
Kama ccm ni imara basi hebu tuwe na tume huru ya uchaguzi na katiba mpya ndo nitakubaliana na maoni yako ukweli ccm ilishakufa zaman kwa ss inalindwa na plc ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…