Jambo hili linanitesa

mutahappy, njoo nikupake dawa ya upendo inayoyeyusha mizigo yote.
Jipende mwenyewe usijibebeshe mizigo mizito.
Waswahili wanasema, mzigo mzito mpe Msukuma. Msukuma nipo hapa kwa ajili yako.

mh,haya ngoja nifanye utaratibu wa kukutafuta.
 
Last edited by a moderator:
napenda sana kuwa huru lakin suala lakuonana nae ni gumu coz niliambiwa alihama mkoa kikaz.

kama una namba yake ya simu mpigie umueleze kila kitu. it will work out. jitahidi utafute mawasilano nae kwa hali yoyote umueleze hisia zako. hope atakuelewa. u never know ukute hata yeye hana amani huko aliko na anawaza akuanze vipi.
 
pole sana.. mapenzi yanauma kuliko hata ugonjwa... lakini wazungu wanasema...time heals all wounds..

hivyo kadri muda unavyosogea, utapona
 
japo cna aman lakin ctak kuwasiliana nae kabisa.
sasa hutaki wasiliana nae!! unadhani hiyo hali itaisha lii na kivipi?? yah najua ni vigumu lakin ndo hamna jinsi,jitahidi!!!!
 
hahahaha.

cheka mwaya ungeze siku za kuishi lolz!
vijana mna mambo kweli kweli.

wewe kama uliachana na gf wako kwa tifu unachojali ni ktu gani?? haya unapewa option usema sitak sasa basi jiue ili iwe mwisho wa haya makitu eboooooo!
 
simpo chukua dawa ya panya uijaribu kunywa uone kama inaweza kukusaidia.

haaa! We dada maisha hayana mazoez, kusema nikikosea hapa kwenye mazoez ntafanya vzr kwenye performance.yann kufa kwa ajil ya m2 niliyekutana nae ukubwan?
Kwel naumia lakin cjafika hapo.
 
Mlifanyanaje? Hatuwezi shauri bila taarifa sahihi
Itakuwa sawa na kutoa dozi bila vipimo
Hata mganga anatoa dawa baada ya ramli
 
haaa! We dada maisha hayana mazoez, kusema nikikosea hapa kwenye mazoez ntafanya vzr kwenye performance.yann kufa kwa ajil ya m2 niliyekutana nae ukubwan?
Kwel naumia lakin cjafika hapo.

sasa waumia kitu gani wewe??
 
Ulimpenda sana huyo jamaa na binafsi naona unataka kurudi pale! Hizo ndizo athari za upweke!
Kwa taarifa tu, wengi huwa wanaliwa hiyo siku ya kuomba msamaha! Na bahati mbaya jamaa atakua kesha'move on', mwaka mrefu ujue, hivyo ukikubali kugegedwa siku hiyo ujue baada ya hapo unakua side line..
Hadi jamaa akue kiasi cha kuona umuhimu wako (kama kweli upo) ndio atarudi kwako mazima.

Kila la kheri.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…