Jambo hili lina maana gani?

Kuna mke wa mtu ambaye natoka naye kwasasa tuna takribani siku 4 toka tupendane cha ajabu Mume wake ameweka picha yangu kwenye profil yake ya Facebook hii inamaana gani

2B9X.gif
 
Na mkewe ajiandae. Yaani jamaa hapo iko Mipango inafanyikia serikali ya kichwani kwake. Yuko stage ya kuchagua options tofauti tofauti kwa nyie wawili. Ataacha historia. Na taarifa zako anazo vizuri Sana. Muache sasa kurukia wake za watu.
 
Wanaume hatunaga noma, hapo mwamba amekukubali vizuri tu, cha msingi nenda nyumbani kwake kamsalimie!!!!
 
Nenda kitengo Cha cyber kashitaki Matumizi ya Picha yako bila hiari Yako. Hapo anafungwa unaendelea na Mke wake
 
Back
Top Bottom