beberu la mtaa
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 682
- 1,665
Unajua maana ya ofisi kijanaMimi sijaona galama kwa upande wa chadema bora wangelalamika chama cha cuf , kwasababu cuf wanayo majengo ya ofisi , chadema wao ni wapangaji kuhama ni dakika tu kodi ikiisha wanahama
Kwani lazma?Msajili wa vyama alisema ofisi yake imeamia Dodoma akawahambia vyama vya siasa vitakuwa vinafata Huduma Dodoma kwaiyo akawashauli wahamie Dodoma ili waweze kuhudumiwa kwa ukaribu zaid
Msajili wa vyama alisema ofisi yake imeamia Dodoma akawahambia vyama vya siasa vitakuwa vinafata Huduma Dodoma kwaiyo akawashauli wahamie Dodoma ili waweze kuhudumiwa kwa ukaribu zaid

Ukiwa huko kichwani ni mikimba tu.Watahamiaje huku ruzuku zinaishia barView attachment 1164113
Msajiri wa vyama alivitaka vyama vya siasa vihamishie ofisi kuu zao za chama Dodoma nashangaa CHADEMA wamepinga na kusema ni garama kubwa lakini mimi najiuliza CHADEMA ofisi ya makao makuu yao pale mtaa wa ufipa wamepanga jengo kwanii swala la wao kuhama iwe garama?
Si wasibiri kodi ikiisha wahamie Dodoma
😂😂😂😂Watahamiaje huku ruzuku zinaishia barView attachment 1164113
Gharama ya taasisi kama CHADEMA kuhamia Dodoma ni zaidi ya pango la ofisi. Dar es Salaam ni Ngome ya CHADEMA kwa sababu zifuatazoMsajiri wa vyama alivitaka vyama vya siasa vihamishie ofisi kuu zao za chama Dodoma nashangaa CHADEMA wamepinga na kusema ni garama kubwa lakini mimi najiuliza CHADEMA ofisi ya makao makuu yao pale mtaa wa ufipa wamepanga jengo kwanii swala la wao kuhama iwe garama?
Si wasibiri kodi ikiisha wahamie Dodoma
Uko sahihi kuhusu ufukara ila naelekea huko kulingana na projection ya benki ya dunia, kuishi kijijini kwa kweli niko kijijini hata tukionana utanitambua kwamba mimi ni wa bush😂😂Mimi napinga vitu viwili tu katika yote uliyosema.
Wewe sio fukara na wewe huishi vijijini.
Msajiri wa vyama alivitaka vyama vya siasa vihamishie ofisi kuu zao za chama Dodoma nashangaa CHADEMA wamepinga na kusema ni garama kubwa lakini mimi najiuliza CHADEMA ofisi ya makao makuu yao pale mtaa wa ufipa wamepanga jengo kwanii swala la wao kuhama iwe garama?
Si wasibiri kodi ikiisha wahamie Dodoma
Nini mantiki ya kuhamishia makao makuu ya vyama vya siasa dodoma?Msajiri wa vyama alivitaka vyama vya siasa vihamishie ofisi kuu zao za chama Dodoma nashangaa CHADEMA wamepinga na kusema ni garama kubwa lakini mimi najiuliza CHADEMA ofisi ya makao makuu yao pale mtaa wa ufipa wamepanga jengo kwanii swala la wao kuhama iwe garama?
Si wasibiri kodi ikiisha wahamie Dodoma
Mkuu we Umejibu hoja kisomi wengine Naona upeo wao upochin sana, Na inaoneka awapendi kukosolewaGharama ya taasisi kama CHADEMA kuhamia Dodoma ni zaidi ya pango la ofisi. Dar es Salaam ni Ngome ya CHADEMA kwa sababu zifuatazo
1. CHADEMA ina mtandao mkubwa unaojumuisha mikoa ya Dar es Salaam na pwani. Ngome za mikoa ya Arusha na Manyara zimeteteleka.
2. Ina majimbo matatu ya ubunge mkoa wa Dar es Salaam ambayo yamekaa kimkakati
3. Inaongoza halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam na baadhi ya manispaa
4. “Political visibility” yake ni kubwa Jiji la Dar es Salaam lenye idadi kubwa ya watu kuzidi majiji mengine
5. CHADEMA kuhamia Dodoma hakuna “political competitive advantage” kwani Dodoma ni ngome ya CCM. Ngome ya vita ya CHADEMA itakuwa ndani ya ngome ya vita ya CCM.
Wa kuhamia Dodoma yupo hawamgusi... Angeaza yeye kwanza kuonyesha mfano kisha wengine wangefata, ndio kiongozi mzuri.Msajili wa vyama alisema ofisi yake imeamia Dodoma akawahambia vyama vya siasa vitakuwa vinafata Huduma Dodoma kwaiyo akawashauli wahamie Dodoma ili waweze kuhudumiwa kwa ukaribu zaid
Makao makuu ni Mali ya Chama Ile nyumba inayofuata ndy wamepangaMsajiri wa vyama alivitaka vyama vya siasa vihamishie ofisi kuu zao za chama Dodoma nashangaa CHADEMA wamepinga na kusema ni garama kubwa lakini mimi najiuliza CHADEMA ofisi ya makao makuu yao pale mtaa wa ufipa wamepanga jengo kwanii swala la wao kuhama iwe garama?
Si wasibiri kodi ikiisha wahamie Dodoma