jambazi

jambazi

Osaba

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
1,942
Reaction score
802
Kuna jambazi lilivamia nyumba fulani,likamkuta m2 na mke wake,bahati likachukua vya kuchukua na likataka kuua,likasema kabla cjaua ninaulizaga majina haya mwanamke unaitwa nani?mwanamke akajibu naitwa eliza,jambazi likasema bahati yako una jina la mama yangu,haya mwanaume unaitwa nani?me naitwa frank ila mtaani nimezoeleka kwa jina la Eliza jambazi hoi!
 
Hahahahahahahahahaaaah. Oooh! Aaah! Uuuuwi..!
 
Kuna jambazi lilivamia nyumba fulani,likamkuta m2 na mke wake,bahati likachukua vya kuchukua na likataka kuua,likasema kabla cjaua ninaulizaga majina haya mwanamke unaitwa nani?mwanamke akajibu naitwa eliza,jambazi likasema bahati yako una jina la mama yangu,haya mwanaume unaitwa nani?me naitwa frank ila mtaani nimezoeleka kwa jina la Eliza jambazi hoi!

Hah ah ah ha ha ha ha ha ah ah aha ha ha ha ha ha haaha
 
Ha! Ha! Ha! Du!! Hii kali
 
Kama ndo mimi jambazi nawasamehe hata vitu nilivyokuwa nimebeba naviacha na kuondoka..............:lol:........................:eyebrows:................
 
Kuna jambazi lilivamia nyumba fulani,likamkuta m2 na mke wake,bahati likachukua vya kuchukua na likataka kuua,likasema kabla cjaua ninaulizaga majina haya mwanamke unaitwa nani?mwanamke akajibu naitwa eliza,jambazi likasema bahati yako una jina la mama yangu,haya mwanaume unaitwa nani?me naitwa frank ila mtaani nimezoeleka kwa jina la Eliza jambazi hoi!

... Umeuaaaaaa ! Hadi nimebonyeza "REPORT POST",mara mods hao,nikawakata stimu kwa ku- cancel.
 
Hahahahuhuhu,wenye wake dedication hyo,ili cku wakija muwe na jibu.
 
....Haya basi we eliza wa kiume utanifaa zaidi kwasababu najua utakua bikra tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom