naomba kuuliza kwa wadau. hivi ili mtu aitwe jambazi sugu inabidi awe na sifa gani? au afanye mambo gani?.
je hizi ni hatua za kufikia ujambazi sugu? mdokozi-kibaka-mwizi-mwizi sugu-jambazi-jambazi sugu?
Wizi wakutumia silaha hasa za kivita!na mwenye watukio mengi ya ujambazi na kesi nyingi mahakamani zilizo kwenye uchunguzi!nanyingi zinamhusu ila hazina ushahidi!