Jambazi mstaarabu

jambazi yuko peku peku.
Nalog off

Movie za bongo.....ataingia kwenye jumb la watu na maviatu yake machafu?!
Yale yale ya shetani kuvuka barabara kwa kuangalia kushoto na kulia asije akagongwa na gari. Shetani gani anaogopa kugongwa na gari..!
 
Jambazi kavua viatu lol! Hawajui hata kuvaa uhalisia wa tukio husika, bongo movie ovyooooo!
 
Haaaa!Naona nyayo zinavojichora!atasaidia upelelez, Uongo muvi noma sana
 
Ni mtisiniki nini mbona kaacha viatu nje?
 
tusiende mbali, angalia tu mdada wa watu anavyoogopa, ashawahi kuona jambazi kweli huyo? hahaha
bongoo movie, tusipoangalia tunalaumiwa ohh uzalendo, uzalendo upi? upuuzi huu nani akae anaangalia, ohh industry inakua, inakua vipi? siku mkiacha kupeana kazi wale mnaojuana mara ohh kawa miss sasa aigize, mara ohh msanii sasa aigize, ohh mjomba, ohh shangazi, nyambafu! some guys wanatengeneza hela ya kuwawezesha kuishi bongo hongera lakini hizo hela kila siku mnapata hamna mnachoboresha, director, producer, editor mtu moja, kampuni ya mavazi ni ya kwake huyohuyo, ya makeup kila kitu ya kwake... nyambafu... director unapitishaje scene kama hiyo na unaikubali kabisa kuweka kwenye production nyambafu.... yani ingekua mimi kila dakika ungesikia cut, sepa, twende tukatafute mwingine...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…