Jambazi ‘kinda’ afunga mtaa

Wa mikoani mtoto mdogo.mmoja.mmemkamata akawaponyoka?mmeanza kula mrendaaaa.
 
Lakn si umeona walivyopambana naye? Ingekuwa dsm huyo dogo angewapora pesa nyingi saana maana hata wasingejaribu kupambana naye
Kwani wao wamepambana nae?hata makofi sijui kama walimpiga?_[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Sipati picha kama hii ingekuwa Dar. Wanaume wa Dar wangekuwa bado wamejificha uvunguni mwa viwanda vyao!
 
ikifika januari hali itakuwa tete haswa pale tanesco watakapopandisha umeme na kufanya hata vinyozi waanze kukosa wanyolewaji,wizi utaongezeka sana
Huo ndo ukweli mchungu
 
Huyo dogo nae yani katumia risasi alafu anachukua arobaini tu? anapaswa kutumbuliwa!
[emoji13] [emoji13] [emoji3] [emoji3] aisee umenuchekesha kweli... Lakini huwezi jua jinsi hali ya maisha ilivyokuwa ngumu huenda hayo ndo yalikuwa mauzo ya siku nzima... Hayo yanakuwa makadirio kama ya mtungi mmoja wa gesi[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kijana alithibitiwa na wananchi halaf baadaye akawaponyoka na kuchomoa silaha kwenye begi,,,,,! Sasa nasema wote mliokuwepo hapo ni pumbavu,,,,,,,,!
 
Mkuu..database ipoo?
 
ac
Hivyo vitoto itakuwa ndio vinavyofundishwa ugaidi. Ila mabosi wao wanafaidika na wizi wao, vyenyewe vinaambiwa "tunampigania Allah"sijui Mungu gani anayeshawishi waumini wawe majambazi ili kumlinda huyo Allah! Ni ajabu sana.
ACHA UCHOCHEZI WA KIIMANI WEWE!
 
nilishawahi kusema hapa kuwa siku akitokea mjinga akawa tengeneza hawa watoto wa mitaani mwanza almaarufu kama watoto wa wakoma ni balaa tupu,nilikuwa na vuta picha ya siera leone ilivyokuwa wale watoto walikuwa wanajua kuuwa tu sio kingine
 
Makamu was Rais kasema tuwe wavumilivu kwa ugumu wa maisha, ni kipindi cha mpito kunyoosha nchi. Changamoto za ujambazi nazo zitaisha tu kunyoosha nchi kukiisha.

KADA
Hivi kipindi cha mpito ni cha miaka mingapi?
 
Hahaa nakumbuka Arusha miaka ya 1990 na hadi elfu mbili kama na 5 hivi, Ila wakati ni ukuta huwezi amini kama Arusha kwa sasa inetulia make ndo ulukuwa mji hatari kabisa, Wizi ulikuwa unafanyika mchana kweupe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…