Jambazi akamatwa na bomu mtaani!

Jambazi akamatwa na bomu mtaani!

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2008
Posts
14,630
Reaction score
4,267
DNCRIME0111ND.jpg


The suspect arrested by police officers in red at Kawangware, Nairobi after he was found with one explosive, two pangas and other weapons on November 1, 2012.


DNCRIME0111M.jpg


A grenade that was recovered from the suspect in Kawangware, Nairobi on November 1, 2012.


DNCRIME0111NS.jpg




DNCRIME0111J.jpg


The house where the suspect was found in Kawangware Nairobi on November 1, 2012.
 
mbona kama kibaka? taswira yangu ya jambazi ni kama dudu, nene, jeusi, baya.....................
 
Utaumia chalii, kuna majambazi wembamba kuliko John Mnyika, umeshaona Ashabab wewe? Ogopa shughulki yao
 
Kumbe Majambazi ya Kenya yanatumia Mabomu, mimi nilifikiri wale jamaa wa kule Somalia
 
Hivi yanauzwa wapi haya mabomu? Au ninaweza agiza wapi?
 
mbona kama kibaka? taswira yangu ya jambazi ni kama dudu, nene, jeusi, baya.....................

Kweli mkuu, zamani ilikuwa ukisikia jambazi basi ujue shughuli pevu lakini hawa majambazi wa siku hizi kama mateja.
 
Back
Top Bottom