Jamanii eeeh huyu kaoa au kaolewa?

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
299894_2102861690968_536334341_n.jpg
 
me hujisikia vizuri sana nikibeba wanangu maan ni kopy zangu kabisa.
 
Masuala ya wawili walioana wewe yakuhusu nini? Kwani kubeba mtoto ni dhambi? Heri ya hawa wanaobeba watoto kuliko wanaochovya na kuwatelekeza watoto. Hapa nadhani kaka yangu Lyatonga ananielewe vilivyo.
 
Mbona watu akili finyu....yaani sala za mambo ya nyumbani na ulezi haliwahusu?
 
Huyu ndo baba sasa, kama mwanaume unaona aibu kubeba mtoto wako kama huyu fikiria mara 2
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom