Jamani

Ni majukumu tu. Kama mke hayuko katika hali tata, anaweza kwenda mwenyewe ilhali kuna usafiri na kwamba atakuwa comfortable. Kama muda upo, unaweza kumsindikiza, vinginevyo sidhani kama ni tatizo.
 
sio wote wapo wanaowapeleka,ombeni umenikumbusha machungu yangu wakati mjamzito huyo mume wangu aligoma kunisindikiza kuanza kliniki mara ya kwanza eti yupo bize(sijui ndo wapi)nikamsihi aombe ruhusa coz mara ya kwanz ahuwa kuna vipimo vingi kikiwemo cha ukimwi na majibu unapewa mwenyewe akagoma,nikamuomba Mungu anipoe nguvu nikaenda mwenyewe pale Tumaini upanga nikapimwa ikiwemo ukimwi nilipopewa majibu nikahisi presha inapanda na tumbo langu nikayafungua nikasoma.......sipati picha yangekuwa mabaya cjui ingekuwaje ,jamani wanaume badilikeni.........baadaye eti ananipigia simu majibu yakoje, jamani acheni tu na hizi ndoa !!!!!!mtoto kazaliwa anampendaaaaaa hajui machungu yangu mwe loh
 
Back
Top Bottom