Nilikuwa pale AGHAKAN kumtembelea shosti flani MATENITY WARD sasa wababa kibao walikuwemo ila kila mmoja alikuwa akisema anajutia kumsindikiza mkewe manake anatamani amsaidie kuumia ila ndio haiwezekani
Kwangu mie si kweli. Huwa naandamana naye kliniki na hospitali. Hata wakati wa kujifungua huwa huwa simuachi peke yake napta sapoti, 'yes, you can do it, push... '