Muda kidogo umepita tangu kundi la orijino komedi (OK) kuamia TBC1 lakini mpaka sasa kundi hili limeacha kazi yake kuikosoa serikali badala yake imekuwa ikiyafumbia macho maovu ya serikali ila sasa kazi yao ni kuitetea serikali na kuwakandamiza wapinzani kwa mfano kipindi bajeti mbovu ilivyotolewa na waziri tulitarajia tuone kazi yao ya sanaa ya kuikosoa serikali mbali na kuchekesha tu. Swali kwako mwana JF unafikiri ni nini sababu kubwa ya swala hili au mtazamo wako ni upi???
I can't agree more on this...angalia quality ya programs ilivyoshuka...taarifa ya habari kwa mfano.sio Ze comedy peke yake iliobadirika hata vipindi vingine vya TBC, na sababu ipo wazi wameshaisema wadau
Ze Komedi kazi yao ni kuchekesha na hilo bado wanalimudu.
Ungeongelea kama management iliyofanya vizuri au iliyoshindwa!!Nasema ningekuwa mhadhiri wa management development...ningetumia TBC as a case study kufundishia management, leadership and governance.
Mkuu kwani Al jazeera sikuhizi wana Chanel za Intertainment? Au ni news Chanel tu?Chezea mshahara siyo kibarua aisee!je wakiwa tido mhando wataenda al jazeera???