OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,575
Hahahahha inawezekana isiwe sawa lakini kitendo cha kutozifuta kina maana kubwa sana especially kwetu wanawake (na kama mtu ameshanasa). Ukimkuta mpenzi wako amehifadhi sms za mapenzi toka kwa mtu anayedai hampendi jiulize mara mbili mbili.
1. Saikolojia yetu huwa ni kukihifadhi kitu kinachokupa faraja, unachopenda kukiona so kama sms ya mtu mwingine imehifadhiwa jua tu huwa tuna-revisit mara kwa mara na kufantasize
2. Lakini inawezekana pia kuwa huyo mpenzi wako hazijali hisia zako kwa sababu Id rather tell you kuwa flani amenitongoza (if its necessary at all) kuliko kukuacha uje uone amenitongozaje! Ni kuumiza hisia zako aisee.
Then hapa ni kuwa demu kachemka na alinywe tu haina haja ya kupeana ushauri juu ya mtu aliyefuga tatizo to that extent
1. Kama ingekuwa ni wewe cud you dare that much.........???????
The whole act was dangerous and thus she was supposed to have escape mission before hands.....
Mbona kama issue yenyewe inakuhusu amney?Naomba mnisaidie, nina shoga angu ameniomba nmshauri nami cnabudi kulileta kwenu.Rafiki yangu ana boyfriend wake kwa muda mrefu sana,bt kwa sasa hawaelewan kwa kua huyo shemeji yangu amekuta sms ya mwanaume mwingine ambae anamfuatilia kwenye cmu ya rafiki yangu.tatizo n kwmb huyo shemeji yangu anazidi kumuuliza yule n nani yake,kila akimuelewesha shemeji yangu hataki kuelewa anamwambia n bwana ake sasa shoga angu ata aelewi afanyeje.
Sidhani kama nimeeleweka hii post ilikuwa inajibu swali la kwa nini azifute hizo sms tu.
Kuhusu ushauri atashauriwa ila utamshauri mtu vipi kama hujamwelewesha kosa lake ? (Wengine hatutambui kosa mpaka tueleweshwe) Si ajabu yeye anajiona ni sawa kuwa na sms kama hizo kwenye simu yake so pasipo kujulishwa possible tafsiri ni wazi ataendelea kujiona hajakosea na pengine hata ushauri utakaompa anaweza asiutilie maanani.
All in all......... aendelee kujiaminisha kwa mpenzi wake kuwa huyo sio mwanaume wake (Ingawa akiulizwa why amekeep sms zake anawezashindwa kujitetea). Na siku nyingine kama anashindwa kujizuia kugawa namba ya simu basi asiwege anaendekeza kujibu sms kama hizo.
Oupss umesema ningekuwa mimi? ............... ah sijui ningefanyaje as nisingefikia hata huko kwa mtu kunisms na mie nikamjibu.
Nilikuelewa vizuri mamy ndo maana nikaendelea na hiyo hukumu yake.......I konw kitu kimoja kuhusu mapenzi....ni kwamba nyie watani wetu wa jadi huwa hamlei kima aisee unless kuna interest sasa kwa mimi suala la kuhubiriwa on the nature and type of interest huwa sina hiyo nafasi
Nishatongoza sana na najua a lady kama hakutaki aisee humtanii kwa sms.....ila kama undecided ndo mtakuwa na majadiliano here and then........so nikikuta hii mambo kwangu ni kuwa either tayari au ndo uko mbion........baaaaas!!!!!!!
Hahaaaaaaaaa by the way cant tolerate kumuona mpenzi wangu akifuga Zombie...........Waaaaaapi LARA1.........mamie Konnie upo???? Da Asha Dii.........Kunga........Mwali.......Hebu nambien hii mambo kaka yenu nikikutwa na hii kadhia nimuelewe wifi yenu eti alikuwa anataongozwa ila yeye hataki........!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Du hii kali maana inaitwa NEW TASTE IN A NEW LIFE ukiona kimya haridhiki mpaka akampenyue kwenye suruali Mwanamme yoyote kumpima km inavuka "7 aje apime na ka mwanamme wake km kako "3 hatasema utaona vi sms tu kila siku ujue umeliwawewe kijana unatania...lazima kucheki simu mwana maana hawa wadada siku hizi kugegedwa na dudu moja imepitwa na wakati...minimum dudu 2 mndo wanaridhika....sasa bor a ujuage mapema kuwa hapa tupo wengi
Ah........... OLESAIDIMU yaani wewe ndio umetuelewa vizuri yaani sina la kuongeza aisee na ninamshauri wifi asije akajidanganya kuwa hujui mbona ataumbuka vibaya
yani uzuri wa jf huwa wanachama wake hawakutwi na kitu chochote, kila atakeye leta mada, nirafk yangu, kaka yangu, jirani yangu, dada, mdogo. Tumshukuru mungu kwakuwa tupo perfect.
I will try to help you
Girlfriend and partner mean different things to different people; the distinctions between the terms are subjective. How the term is used will ultimately be determined by personal preference
A girlfriend is a female partner one is romantically and/or sexually involved with. It can also refer to a female friend
A boyfriend is a regular male companion in a romantic and or sexual relationship[SUP][1][/SUP], although normally not in long-term committed (e.g. marital) relationships, where other titles (e.g. husband, partner) are more commonly used. A boyfriend can also be called an admirer, beau, fiancé, suitor and soul mate
Amne samne....lol....
Naomba mnisaidie, nina shoga angu ameniomba nmshauri nami cnabudi kulileta kwenu.Rafiki yangu ana boyfriend wake kwa muda mrefu sana,bt kwa sasa hawaelewan kwa kua huyo shemeji yangu amekuta sms ya mwanaume mwingine ambae anamfuatilia kwenye cmu ya rafiki yangu.tatizo n kwmb huyo shemeji yangu anazidi kumuuliza yule n nani yake,kila akimuelewesha shemeji yangu hataki kuelewa anamwambia n bwana ake sasa shoga angu ata aelewi afanyeje.