Jamani yahoo imegoma, vipi wenzagu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani yahoo imegoma, vipi wenzagu?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by ndyoko, Nov 9, 2011.

 1. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #1
  Nov 9, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Siku nzima ya leonimeshindwakusign in kwenye yahoo kwani mara zote nilizojaribu inagoma na kusema eti nimekosea ama ID yangu au passowrdwakati jana usiku tu nilikuwa nasign in kama kawaida na wala sikubadili passowrd.

  Je wenzangu mmekutana na hilo atizo na je mmelitatuaje? Msaada wenu wakuu tafadhali!
   
 2. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #2
  Nov 9, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Ni kweli nadhani hilo tatizo limetukuta wengi, mimi nimeendelea kujaribu mpaka ikakubali lakn nlikuwa na mwenzangu yeye yake imekataa kabisaaa
   
 3. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #3
  Nov 9, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Hakika ni mambo ya mtandao tu! Na tusishangae sana kwani mambo ya kawaida tu! Try again My Dear!
   
 4. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #4
  Nov 9, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Hata mie kwangu haikubali...nadhani Illuminati na Freemason wako kazini
   
 5. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #5
  Nov 9, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Jitahidi kujaza email na password kwa makini.
   
Loading...