jamani wizi mbaya

Duuh hii udhalilishaji jamani, sio uchi tena. Hiyo ya simtank nimeipenda haina haja ya kukodi mkoko10
 
king'wendu atakua ndani ya pipa nn?
 
Aisee baba yangu huku kwetu rombo ukiiba ndizi wanakuvua nguo na kukumwagia maji baridi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…