Jamani who is she?

cheusimangala

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2010
Posts
2,585
Reaction score
499
1.) http://www.youtube.com/watch?v=ez1LVrS5cs8

http://www.youtube.com/watch?v=WEV9sDVClKA

Katika pita pita zangu youtube nikisikiliza nyimbo za injili nikakutana na huu wimbo(1.),kweli umenitoa machozi,nadhani huu ni wimbo unaosikitisha KULIKO NYIMBO ZOTE ZA KUSIKITISHA ZA INJILI!
baada ya kuusikiliza nimejikuta nikitamani kumfahamu huyu dada kwa kirefu!
EDINA KIBOMA ,nahitaji kumfahamu kwa kirefu!(she is beautful too,I think she is the most beautful Gospel singer in Tanzania(in my eyes))
Naomba mwenye taarifa zake zaidi anipe na nyimbo zake zinapatikana wapi ninunue!
lav you all!
 
http://ushuhuda-wangu.blogspot.com/




nadhani nimechangia ombi lako kwa kiasi chake ........................!
tembelea hiyo blog yake labda utapata unachataka................................!
acha kulia lia ovyo................sawa eeeh!
 
Ndiye yule ambaye alifanya mtihani wa form 4 mwaka 2009 pale Dae es salaam christian Seminary.
Anajitahidi inabidi apigwe msasa zaidi katika tasnia ya mziki atabamba sasa.



S0785/0013
 
Last edited by a moderator:
kibunango naomba unielekeze jinsi yakuweka video kama hivyo ulivyoiweka hiyo hapo juu coz nilitaka niiwke kama hivyo ulivyoiweka lkn ikabidi niweke tu link!
help please!
 
 

I think the current most beautiful singer in Tanzania ni huyu hapa chini

http://www.youtube.com/watch?v=f4JlzLKPTKM

 
shusho pia namkubali!



wote ni warembo lakini edina kiboma naona ni mrembo zaidi:
 
i love christina shusho pia!nampenda sana huyu dada!
 
christina Shusho kwakweli ni kipenzi cha wengi, i love har, ukisikiliza nyimbo zake unapata upako fulani.
 
christina Shusho kwakweli ni kipenzi cha wengi, i love har, ukisikiliza nyimbo zake unapata upako fulani.

Kabisa. Hata kama ulikuwa umevunjika moyo nyimbo zake zinakusogeza mbele za MUNGU na kukupa nguvu mpya
 
i love christina shusho pia!nampenda sana huyu dada!

Yeah, Beatrice Muhone nyimbo zake ni nzuri pia. Ila tu umaarufu naona ulimzidia akaanza kutoka nje ya mstari. Mwangalie vizuri hata uso wake unaanza kuonyesha kuzeeka.
 
Dada angalia vizuri. Shusho is more cute. Itabidi tuombe watu wapige kura sasa.

kaka the beuty is in the eyes of.....?
sijakataa shusho ni kipenzi changu lkn machoni mwangu huyu Edina kiboma naona ndio mzuri,pia uko sahihi kaka yangu kama macho yako yanakwambia ni shusho,by the way hizi picha hasa hiyo ya shusho ni photoshop,shusho nishamuona live,ni mzuri lkn hayuko kama ktk hiyo picha!
kwanza dada shusho ni cheusimangala kama mie dada yako lkn hiyo picha inamuonesha eti ni cheupe dawa!
go shusho,go kiboma i love them all wananibariki!
 
Yeah, Beatrice Muhone nyimbo zake ni nzuri pia. Ila tu umaarufu naona ulimzidia akaanza kutoka nje ya mstari. Mwangalie vizuri hata uso wake unaanza kuonyesha kuzeeka.

kaka hapo umeua jamani!
kwani huu mwili wa nyama si unazeeka tu baada ya muda!
mwache azeeke kama umri unaruhusu!
 
NAMNA YA KUPOST VIDEO
Da Cheusi,
1. Copy URL (anuani yenye hiyo video unayotaka kuisert) YouTube - KAMA YESU AMEKUANDIKIA NDIO-EDINA J KIBOMA.

2. Click the insert video icon (juu kwenye bar kuna icons / tool kadhaa; bofya ile iko kama film: ukipeleka cursor utasoma "insert video"). Itafungua nafasi ikisema inter your video Clip
URL below).
3. Paste your URL into that provided space. (Paste huo mpini-http://www.youtube.com/watch?v=WEV9sDVClKA hapo kwenye nafasi)
4. After uploading, submitt your post. ( Subiri picha ya video itaonekana kisha utume post yako.
 
Disko la mungu sio!.. visusio vya mapadri hivi:becky::becky:
 
Msiwatie majaribuni kwa kuwasifia uzuri wao wajameni
 
Disko la mungu sio!.. visusio vya mapadri hivi:becky::becky:

Sasa mfungo umeisha ndo maana hata maneno machafu unaanza kuyatoa, lol! Utakatifu wa msimu. Poleni sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…