Jamani wherever you are lolyz anakushukuru!

toka nikufahamu leo ndo umeongea la maana...lol
muwe mnashaurianakama hivi aisee....sio mtu anapanda kitandani na skin tight
halafu tukitafuta nyumba ndogo,ugomvi lol

The boss wewe unashauri je kuhusu night dress? mbona ndio huwa zinakuwa na nakshinakshi jamen..sasa naked kabisa si inakinaisha ?
 
Mshukuru Mungu wako kwa mafanikio alokujalia kwenye ndoa yako na hata kumbadilisha mumeo! I wish u the best of happiness!
 
Hongera sana nakutakia maisha mema. nashukuru kama mchango wangu umesababisha haya pia
karibu tena kila wakati ukitak ushauri. Jf ni kila kitu mamii
 
Hongera sana nakutakia maisha mema. nashukuru kama mchango wangu umesababisha haya pia
karibu tena kila wakati ukitak ushauri. Jf ni kila kitu mamii

Your very rite my dear..mchango wako ni sehemu ya mafanikio yangu ..thanks a lot
 
Mshukuru Mungu wako kwa mafanikio alokujalia kwenye ndoa yako na hata kumbadilisha mumeo! I wish u the best of happiness!

Kipipi ngoja nimshukuru tenambele yako mamy...Mungu nakushukuru kwa wema wako na matendo yako makuu kwangu naomba kila mwana-Mmu atakayeona shuhuda hii uguse maisha yake kwa jina la Yesu nimeomba na kushukuru...Amen
 
Back
Top Bottom