Dooh tabu iko pale pale....Nimeambiwa 1.2 or around hapo
huwezi kutenganisha baridi na dearkazi ipo, kwani baridi inahusikaje tena
Tecno kwa kurudufu ni mabingwa hii si s10 plus hii?🤔
Simu ni chache sana duniani sisi wengine tunatumia vibebea line!Usiangalie Jina tu, lakini hiyo simu nzuri wamejitahidi















Ooh wacha nikapitiejannelle utapigwa vizuri sana.Kwa kukusaidia soma huu uzi. Naomba kujuzwa bei ya Phantom X
Haya mambo ya technolojia yanahitaji darasa refu kwanza kabla ya kuyakimbilia,tofauti na hapo utakuwa unapigwa kirahisi sana.
