Jamani Wazungu siyo wote wabaya

kwenda21

JF-Expert Member
Mar 11, 2014
3,419
3,388
Imejengeka dhana kuwa wazungu wote ni watu wabaya ila sikweli, wazungu wengi ni watu wazuri sana. Naangalia kinachoendelea ulaya wazungu wanavyoondama kwenda balozi za Marekani kucomplain juu ya kifo cha mshikaji.

Jana nilijifanya kuwa nambishia mmoja kuwa wanachofanya watu weusi si kizuri kuiba kwenye maduka, akanijibu wanaoiba mle si weusi tu hata weupe wanaiba akanisihi niangalie videos vizuri, akaniambia nafanya makosa makubwa kuchukia eti kwa nini wanaandamana kwa style ile ya kuharibu na kuiba, akaniambia mimi swali la kujiuliza ni kwanini wanaandama, akasema kuwalaumu ni kuwaunga police mkono.

Akasema police hawajaanza Leo kuwaua blacks akaniambia nisome vitabu, njia ninazotaa akina Malcom X na Martin Luther King walishajaribu na hivyohivyo wakauwawa, tena akasema unajua kuwa Marekani wanaendako kuiba mafuta wanaua kwanza huku wanaiba, hawatumiagi njia ninazotaka mimi zifuatwe, nikachoka.
 
Thd imejicontradict yenyewe!
Sijui hata tuchangie nini hapo?
Hiki ndio kile kipindi wewe unataka kuoa afu mpo kwenye kikao cha harusi unaulizwa una shilingi ngapi unawaambia una ml3 bajeti ni ml18 mdogo wa mwisho kwa mama yako wa kambo anajitolea kuchangia ml 21 hapo ndio utatia akili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom