Ndugu zangu habari za siku nyingi mwenzenu nilisafiri wakati nasafiri nilinunua x master sasa jana narudi nfunga aifanyi kazi nimepigia watu cm wanasema zimekata je habari hizi ni za kweri ? maana mwenzenu kama kuitumia nilitumia siku moja tu sasa do hakuna njia nyingine ili ifanye kazi ? naombeni msaada wenu :crying: