Troojan JF-Expert Member Joined Oct 8, 2012 Posts 967 Reaction score 681 Dec 21, 2012 #1 Ndugu zangu naitaji msaada wa haraka kesho nina interview katika hiyo seheemu lakini sijui ni mikocheni sehemu gani,anaepajua please msaaada
Ndugu zangu naitaji msaada wa haraka kesho nina interview katika hiyo seheemu lakini sijui ni mikocheni sehemu gani,anaepajua please msaaada
bibliography JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 614 Reaction score 228 Dec 21, 2012 #2 Pita barabara ya rose garden kisha uliza mbele mbele either utaona bango au utaelekezwa bt najua ofisi zipo posta benjamin mkapa towers 14th floor
Pita barabara ya rose garden kisha uliza mbele mbele either utaona bango au utaelekezwa bt najua ofisi zipo posta benjamin mkapa towers 14th floor
M Mringo JF-Expert Member Joined Jun 23, 2010 Posts 320 Reaction score 100 Dec 21, 2012 #3 Shuka makumbusho, chukua kibajaji ni kama buku tu wanakufikisha...
G Godwin Mneng'ene JF-Expert Member Joined Sep 20, 2010 Posts 215 Reaction score 86 Dec 21, 2012 #4 ninavyofahamu mimi kule mikocheni ni nyumba za kuishi wafanyakazi ila ofisi zao zipo benjamini wiliam mkapa tower
ninavyofahamu mimi kule mikocheni ni nyumba za kuishi wafanyakazi ila ofisi zao zipo benjamini wiliam mkapa tower
J jolyjoly Member Joined Sep 30, 2012 Posts 24 Reaction score 4 Dec 21, 2012 #5 Km unakuja na basi telemka sayansi alafu panda bajaji ukiwaambia watakupeleka njia ya rose garden ni hapo ndio usahil unafanyika km maelekezo uliopewa,na sio ofisi za posta
Km unakuja na basi telemka sayansi alafu panda bajaji ukiwaambia watakupeleka njia ya rose garden ni hapo ndio usahil unafanyika km maelekezo uliopewa,na sio ofisi za posta