UBEA??? unamanisha ambao tuko jf ni wabea.
Ubea ndo nini shemeji na wewe??
Typing err nilimanisha umbea.
Mxiuuuuuuuuuu kuna mtu kakuuliza kuhus majukumu yako???
hahahaa umerudi kwa kasi,ulipotelea wap
Nlishindwa kuamini kama ni typing error kwa sababu umerudia mara mbili kosa hilohilo
Shule inanifanya nakua sna mda wakuingia jf
Habari za siku nyingi wadau. Nimewamisije? Nipo mwenzenu mishemishe ndio nyingi. Si mnajua tena majukumu yakiongezeka na muda wa umbea unapungua.
Mxiuuuuuuuuuu kuna mtu kakuuliza kuhus majukumu yako???
Da sophy a.k.a mamaa ya "hainaga degree". Za masiku mwee?
hahahaha unamkumbuka eeeh