Sijajua wanaweka kumvutia nani, wanaume wengi hawaungi mkono mwonekano wa mwanamke mwenye kucha ndefu. Asilimia kubwa ya wanawake wenye kucha ndefu wanakuwa wachafu sehemu za Siri. Sasa hivi nkiona mtu ana mikucha mirefu ya kufuga au kupachika najua tu huyu atakuwa ananuka uchi.