Jamani wanawake hebu tuambieni ni kwanini?

Jamani wanawake hebu tuambieni ni kwanini?

Kwani hujui kuwa kwenye shoo hizo hao wanawake wanatumikishwa tu. Mwenye uamuzi wa kuwafanya wavae hivyo mara nyingi ni mwanaume!

Ishu inakuja kwanini wakubali kutumikishwa kwa kukaa uchi? mbona wanaume hawaambiwi hivyo? Hapa mkubali mkatae nyinyi hamjitambui na wala hamjielewi ndo maana mtu akikuambia tembea uchi unakubali.
 
wao huwa wanajiona kama vivutio vya wageni. Ni aibu sana na dhihaka kwa mwanamke. Hata kwenye mabaa na mahotel utawakuta nusu uchi! Hivi mteja akihudumiwa umevaa vizuri haridhiki?
Mi nadhani wanaopigania haki za wanawake inabd washughulike na hili pia

Ushauri wako mzuri ila nna swali. Hivi wanapigania haki kutoka kwa nani? maana huo ujinga ni wa kwao. Mwanzo walikuwa wanapigania haki zao kutoka kwa wanaume sasa hapa nakosa majibu.
 
Hii tabia ni ya watu wasiojiamini. Unataka kuniambia wanawake wanaovaa nguo za heshima wao hawapati wanaume??

Mada inazungimzia wanawake wa stajini na show kwa nin wanavaa uchi na si jamii nzima tena kasema kabisa hizo nguo hawawezi tembea nazo kitaa
 
Back
Top Bottom