Jamani wanawake hebu tuambieni ni kwanini?

Jamani wanawake hebu tuambieni ni kwanini?

The master

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2014
Posts
289
Reaction score
196
Nimekuwa nikiangalia live show mbalimbali za wasanii wa muziki na hata fani nyingine za usanii na kujiuliza maswali mengi sana juu ya hawa wanawake.

Siku zote wacheza show wa kike wamekuwa wakivaa nguo ambazo zinaonesha sehemu za miili yao ambazo ktk mazingira ya kawaida hawawezi kuvaa hivyo, tena wakati mwingine wanakuwa sawa na mtu aliye uchi kabisa. Wakati huo wanaume wameva nguo nzuri tena wanapendeza na wanaonekana smart.

Swali kwa wanawake je, tatizo ni nini mpaka mnacheza uchi wakati wanaume wanacheza wakiwa wamevaa nguo za heshima? Je, ni kutojielewa kama binadamu au ni nini?
 
Kwani hujui kuwa kwenye shoo hizo hao wanawake wanatumikishwa tu. Mwenye uamuzi wa kuwafanya wavae hivyo mara nyingi ni mwanaume!
 
Kwani hujui kuwa kwenye shoo hizo hao wanawake wanatumikishwa tu. Mwenye uamuzi wa kuwafanya wavae hivyo mara nyingi ni mwanaume!

Yah ni kweli....na yule mtumikishaji ataingiza pesa nyingi sana maana watu wanamiminika kusafisha macho
 
wewe mwanamke toka mwanzo wa dunia amekuwa mtu asijitambua.
 
Nawee nawe! Sasa wakivaa magauni utakwenda kuwaangalia?
 
wao huwa wanajiona kama vivutio vya wageni. Ni aibu sana na dhihaka kwa mwanamke. Hata kwenye mabaa na mahotel utawakuta nusu uchi! Hivi mteja akihudumiwa umevaa vizuri haridhiki?
Mi nadhani wanaopigania haki za wanawake inabd washughulike na hili pia
 
tukivaa magwanda tutakosa wanaume ndani... ndiyo maana tunavaa uchi ili tuvute wanaume
 
khaaaa biashara matangazo.....watu wanataka kanga moko .....kiuno kama panga boy akudo

kufurahisha watazamji wale wapo kazin na hizo nguo boss wao ndo kawaambia wavae

furah ya macho wacha wavae
 
Wanawake hawanaga akili huoni hata fb wanavyopiga picha huku wamebinua makalio na midomo.
 
khaaaa biashara matangazo.....watu wanataka kanga moko .....kiuno kama panga boy akudo

kufurahisha watazamji wale wapo kazin na hizo nguo boss wao ndo kawaambia wavae

furah ya macho wacha wavae

shingapi unauza?
 
Sielewi kwa nini wako hivyo maana mwanamke mzuri hata akivaa dera utamjua tu.
 
Beijing walienda kufanya nini wakati wakija huku wanajidhalilisha?
 
Back
Top Bottom