Hivi utaniambia ni w/me tu ndio majanga ktk mahusiano?
...
Mmmh! Maskini Mashaxizo alikua good boy kwenye mahusiano!!!
mkuu naomba uniruhusu nifanye utafiti, ila naomba number of sample isiwe less than 30
Hahaaa kuonja kabla ya ndoa Mungu hapendi
basi itabidi hata huyo ninayemuoa awe hajaonjesha mkuu
inategemea huyo mwanaume na huyo msichana walikuwa kwenye mazingira gani. kama walikubaliana wakaenda gesti hilo sasa ni tatizo. ila kama walikuwa wanaishi kwenye nyumba moja na mara nyingi kubaki wao wenyewe mmmh linaweza kumtokea mwanaume yeyote mroho!!Dada mmoja amemfumania mume wake akifanya mapenzi na mtoto wa kaka yake(kaka wa mke),mke amechanganyikiwa,akaenda kuomba ushauri,akaambiwa ajitahidi atatue hilo tatizo maana,huku kwenye jamii tayari kumejaa matatizo lukuki akiruhusu na hilo la mume wake kuja huku,hana mchango wa kujenga jamii ambayo inaanzwa na yeye kwenye ndoa yake.
Hivi mpaka lini wanaume mtasababisha majanga ndani ya familia zenu,kila siku wanawake ni vilio tu?
ahsante kwa ushauriNdiyo hvyo ila kuwa makini mana siku hizi mtu ana onyesha hafu ana erenew
Dada mmoja amemfumania mume wake akifanya mapenzi na mtoto wa kaka yake(kaka wa mke),mke amechanganyikiwa,akaenda kuomba ushauri,akaambiwa ajitahidi atatue hilo tatizo maana,huku kwenye jamii tayari kumejaa matatizo lukuki akiruhusu na hilo la mume wake kuja huku,hana mchango wa kujenga jamii ambayo inaanzwa na yeye kwenye ndoa yake.
Hivi mpaka lini wanaume mtasababisha majanga ndani ya familia zenu,kila siku wanawake ni vilio tu?
mkuu labda kuna ukweli ndani yake ngoja nitafute mmoja nimuonje nitaleta majibu.vp wewe hutaki kuonja?
umeona eh! ndio maana nikauliza isije kuwa jamaa wanamchongea mchongo ili wampige hela.Hili nalo ni swali la kuuliza washawasha..maana siku izi tunaenda wenyewe hoteln kwa ridhaa yetu tunadai tumebakwa...
Kuchapiwa ni Mambo ya Ndani... Diamond
yaah ni kweli ndio maana wamejaa kwenye makanisa na majumba ya maombi kutafuta relief. wanawake wengi wanastress za maisha hasa walioolewa.
Hakuna haja ya kuishi na house girl wala shemeji, all men are POLYGAMISTS by nature
Ila kuna haja ya kuishi na houseboy, gardener, driver wa wife, na gate keeper!!!! All women are SAINTS!!!!
Ila kuna haja ya kuishi na houseboy, gardener, driver wa wife, na gate keeper!!!! All women are SAINTS!!!!