Bahati yangu
Member
- Sep 30, 2013
- 30
- 7
Machozi tumeumbiwa binadamu lakini kwa wastani wanawake hulia zaidi ya wanaume...source Abeid H. Sakara
Hivi utaniambia ni w/me tu ndio majanga ktk mahusiano?
...
Mmmh! Maskini Mashaxizo alikua good boy kwenye mahusiano!!!
Lakini si hajambaka?
Nalog off
Ukitaka kudhibiti cha mwisho, anza na cha kwanza. angalia apa chini
Yakobo 1:13''Mtu ajaribiwapo, asiseme, Ninajaribiwa na Mungu; maana Mungu hawezi kujaribiwa na maovu, wala yeye mwenyewe hamjaribu mtu. 14 Lakini kila mmoja hujaribiwa na tamaa yake mwenyewe huku akivutwa na kudanganywa. 15 Halafu ile tamaa ikiisha kuchukua mimba huzaa dhambi, na ile dhambi ikiisha kukomaa huzaa mauti'':A S 39::A S 39::A S 39: