Jamani wanaume!




kama umeinisoma vzr alioa wakati wametofautiana kidogo........
 

yaani kwa vile kadanganywa na yeye kaamua kudanganya!
huyo friend wako nadhani ana problem ya matatizo 🙂.
naamini huyo rafiki kapenda haswa. mwambie aendelee tu na
mpenzi/mchumba wake kwani yeye hatakuwa wa kwanza wala
sio wa mwisho kuishi na mwanamume aliyekwishaoa. mambo ya
moyo hayoo.
 

...ndoa za 'peke yako-peke yako' zimepungua sana miaka hii, mshauri aendelee tu kujipanga na harusi, bwana si amejitolea kulala zamu Dar na Mbeya au sio?

Hapo alipo anamsaidia huyo bibie wa Mbeya, wakishahalalisha na bibie wa Mbeya naye itambidi afahamishwe ili naye aridhie kusaidiwa, hapajaharibika neno hapo...
 

Hili ndiyo tatizo la vijana wa siku hizi. Inaelekea huyu dada hakuwa mke mtarajiwa bali alikuwa mke kabisa na kwa wazazi alikwenda kuwatangazia kwamba na yeye tayari anakula tunda. Pamoja na kampeni zote za Fema, mkiambiwa subirini hamtaki.

Nyamayao, hili ni funzo kwa vijana hasa wasichana, msitoe tunda kwani si rahisi kujua mkweli na tapeli. Rafikiyo ametapeliwa, na ni busara kwake kuachana naye jamaa kabisa. Kama ni mkristo na anampenda Yesu basi ampende Yesu zaidi. Kumpenda anayeisaliti ndoa yake ni sawa na kuisaliti damu ya Yesu.

Mshauri tu arudi kwa Yesu, atubu dhambi, na kisha aombe Mungu atampa mume aliyebora na atasahau hayo. Bila shaka hilo limekuja kwa miujiza ya Yesu. Mungu ametaka kumuepusha kuolewa na laghai. Yeye alikuwa anampenda kwa dhati lakini jamaa anamlaghai. Huyu angeweza hata kumwambukiza virusi.

Kama alikuwa hawatumii kinga, ni bora akapime, na kama yupo safi, achukuwe tahadhari na mijidume laghai.
 

...MaMkwe nadhani wafanya judgement on one sided story!


...ataomba sana tu, waoaji siku hizi adimu! bora ang'ang'ane hapo hapo,
BTW 'jini likujualo, halikuli likakumaliza!'
 
...MaMkwe nadhani wafanya judgement on one sided story!



...ataomba sana tu, waoaji siku hizi adimu! bora ang'ang'ane hapo hapo,
BTW 'jini likujualo, halikuli likakumaliza!'



hivi wanaume wameisha kihivyo? du unakatisha tamaa sana.
 
Haina sababu ya kuendelea pamoja.Kwanza uchumba sio ndoa hivyo wala isimuumize kichwa.
Ajitoe tu akaanze maisha yake.Ingawa mwanzo ni mgumu lakini atajiweza tu
 
Mambo ni mengi
muda ni mchache..
Najionea taaaabu
mwenyewe.
 
Duniani kuna vitu vinafanyika mpaka shetani anaogopa ni hatari kweli kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
labda alikuwa na mentality yakuwaonyeshea watu...ila uchumba unaweza vunjika muda wowote kwa kweli...ndio maan ahutakiwi kukurupuka kurudiana na mtu mkiwa mmeachana
 
jamaa naye alizingua sana..haijakaa vizuri kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…