Think Hard
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 318
- 303
Nimecheka sana hili bandiko lako! Ili wanaume Mungu anatuona ujue..!Yani Mwanaume jinsi alivyo na upendo kwa wanawake...!!! Hivi unajua mwanaume hata akipewa kundi la wanawake 100 achague mmoja kati yao!! Hata akichagua mzuri kupita wote bado roho itamuuma sana kuwaacha wale 99 waliobaki!!!??
Jamani acha tu Mungu awabariki sana wanaume kwa upendo wa aina hii waliyonayo!!! Na ninyi wanawake jaribuni hata basi kuiga hata angalau robo tu....!!
Wanaume ni sawa na panya. Kila geto anataka liwe lake
Ila lipo shimo moja tu atakalo fia,..au sio,
Ndo maanake
Na Mimi nkifia kwako je!?
Huo huo unaouita upendo
Mwanamke akionesha kuwa na aina hiyo hiyo ya upendo ataitwa jina baya