Jamani wanaume wana upendo sana kwa wanawake!

Think Hard

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
318
303
Yani Mwanaume jinsi alivyo na upendo kwa wanawake...!!! Hivi unajua mwanaume hata akipewa kundi la wanawake 100 achague mmoja kati yao!! Hata akichagua mzuri kupita wote bado roho itamuuma sana kuwaacha wale 99 waliobaki!!!??
Jamani acha tu Mungu awabariki sana wanaume kwa upendo wa aina hii waliyonayo!!! Na ninyi wanawake jaribuni hata basi kuiga hata angalau robo tu....!!
 
Hahaha mkuu utakuwa mvulimivu mkeo akiwa na upendo huo yani agawe kwa vijana 99 mtaani kama ishara ya "upendo"
 
Yani Mwanaume jinsi alivyo na upendo kwa wanawake...!!! Hivi unajua mwanaume hata akipewa kundi la wanawake 100 achague mmoja kati yao!! Hata akichagua mzuri kupita wote bado roho itamuuma sana kuwaacha wale 99 waliobaki!!!??
Jamani acha tu Mungu awabariki sana wanaume kwa upendo wa aina hii waliyonayo!!! Na ninyi wanawake jaribuni hata basi kuiga hata angalau robo tu....!!
Nimecheka sana hili bandiko lako! Ili wanaume Mungu anatuona ujue..!
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom