Niko na mpangaji mwenzangu tangia tujuane yapata mwezi tena kwenye nyumba hiyo, ila cha kusikitisha anaishi na mwenzi wake kama vile hana mke ona hii mwanamke huyo mume wake anafagia nyumba yeye hata kujitikisa kuzoa taka alizokusanyiwa hawezi. Leo mida ya saa 1:30 usiku mume ametoka kazini hakupikiwa chakula ikabidi aingie jikoni na kujihudumia mwenyewe cha kushangaza mwanamke huyo ni mvivu hata kuosha vyombo alivyolia chakula vinakaa kama siku 2 havijaoshwa. Jamani haya maisha anayoishi mume mwenzangu yanasikitisha cha kusikitisha zaidi mchana mzima mke wake anaongea na mabwana kupitia sim hii nimeileta kwa wale wadada wenye tabia kama za huyo.