Jamani wadada muwe na huruma

Jamani wadada muwe na huruma

Shida na raha

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2014
Posts
3,773
Reaction score
3,474
Niko na mpangaji mwenzangu tangia tujuane yapata mwezi tena kwenye nyumba hiyo, ila cha kusikitisha anaishi na mwenzi wake kama vile hana mke ona hii mwanamke huyo mume wake anafagia nyumba yeye hata kujitikisa kuzoa taka alizokusanyiwa hawezi.

Leo mida ya saa 1:30 usiku mume ametoka kazini hakupikiwa chakula ikabidi aingie jikoni na kujihudumia mwenyewe cha kushangaza mwanamke huyo ni mvivu hata kuosha vyombo alivyolia chakula vinakaa kama siku 2 havijaoshwa.

Jamani haya maisha anayoishi mume mwenzangu yanasikitisha cha kusikitisha zaidi mchana mzima mke wake anaongea na mabwana kupitia sim hii nimeileta kwa wale wadada wenye tabia kama za huyo.
 
sasa si umwambie huyo dada huko au yupo humu
 
Mambo ya nyumba za wenyewe hayakuhusu....... huyo mwanaume angekuwa anaumia angevunja mahusiano
 
Mambo ya nyumba za wenyewe hayakuhusu....... huyo mwanaume angekuwa anaumia angevunja mahusiano

Na ndo maana nimewakalia kimya siwezi hata siku 1 kujivika magamba ya kobe yakaja kuninamia maana inaonekana mume karogwa maana anavyopelekeshwa ni shida.
 
hizi bhangi wanazotuwekea wasichana siku hizi hazifai kabisa..ningekuwa mimi nisingepika ningekuwa nakula na kulala nje af nione kama atanipenda
 
mwenye mke karidhika ila mtaa wa saba hamlali!

hizo kazi wanawake wengi wanazifanya hamuoni wanachoka eehh
 
Asnte Kwa taarifa ila Kama ungeachana nayo vile....
 
Niko na mpangaji mwenzangu tangia tujuane yapata mwezi tena kwenye nyumba hiyo, ila cha kusikitisha anaishi na mwenzi wake kama vile hana mke ona hii mwanamke huyo mume wake anafagia nyumba yeye hata kujitikisa kuzoa taka alizokusanyiwa hawezi. Leo mida ya saa 1:30 usiku mume ametoka kazini hakupikiwa chakula ikabidi aingie jikoni na kujihudumia mwenyewe cha kushangaza mwanamke huyo ni mvivu hata kuosha vyombo alivyolia chakula vinakaa kama siku 2 havijaoshwa. Jamani haya maisha anayoishi mume mwenzangu yanasikitisha cha kusikitisha zaidi mchana mzima mke wake anaongea na mabwana kupitia sim hii nimeileta kwa wale wadada wenye tabia kama za huyo.

Ya ngoswe mwachie ngoswe....omba yasikukute...heshimu na ogopa kitu kupenda unaweza fua mpaka kinyuzi
 
Waachie mambo yao bhana kama ww ni imara zaidi si uoe wako ndio umuendeshe kama trkta
 
Tutajie kabila la huyo dada. Makabila mengine ni ya kuepuka kama ukoma.
 
Niko na mpangaji mwenzangu tangia tujuane yapata mwezi tena kwenye nyumba hiyo, ila cha kusikitisha anaishi na mwenzi wake kama vile hana mke ona hii mwanamke huyo mume wake anafagia nyumba yeye hata kujitikisa kuzoa taka alizokusanyiwa hawezi. Leo mida ya saa 1:30 usiku mume ametoka kazini hakupikiwa chakula ikabidi aingie jikoni na kujihudumia mwenyewe cha kushangaza mwanamke huyo ni mvivu hata kuosha vyombo alivyolia chakula vinakaa kama siku 2 havijaoshwa. Jamani haya maisha anayoishi mume mwenzangu yanasikitisha cha kusikitisha zaidi mchana mzima mke wake anaongea na mabwana kupitia sim hii nimeileta kwa wale wadada wenye tabia kama za huyo.

Nipe namba za huyo Dada aniambie alicho mfanyia huyo jamaa na Mimi nimfanyie mtu
 
Nipe namba za huyo Dada aniambie alicho mfanyia huyo jamaa na Mimi nimfanyie mtu

Namba zake sina wala sizitaki na za kwangu hana, maana ni shida alijaribu kumuomba wife namba zangu alikataliwa. Alijua mara naweza kula kiboga kwenye uvungu.
 
Back
Top Bottom