Jamani Wadada mbona mnanitesa hivi? Nimewakosea nini?

kobitree

Member
Oct 7, 2018
6
2
Kwa mara nyingine nakuja mbele zenu wadada nikiwa na ombi lile lile: Natafuta mwezi wa maisha. Sifa zake
- Awe mrembo / mzuri sana. Hapo sina-compromise aisee. Kama sio mzuri pita mbali.
- Rangi mweupe au maji ya kunde.
- Umbo mwembamba
- Shule isipopungue angalau form four. Form Six au Chuo itapendeza!!!
- Sio lazima uwe na kazi, maono ya maisha yanayoeleweka yanatosha.
- Uwe tayari kupendwa, kubembelezwa na kudekezwa.
-Uwe mcha Mungu. Sitaki mpagani.
- uwe na mawazo chanya-positive. sitaki wakatisha tamaa.
- Uwe na huruma na uwapende masikini na wasiojiweza. Ninampango wa kufungua taasisi ya namna hiyo baadaye. Kama huna moyo wa hivyo tafadhali please tusisumbuane.


NB: Mwanafunzi aliyemaliza Chuo au aliyeko mwaka wa mwisho watapewa kipaumbele.

I'm serious!!!
 
Ukipunguza vigezo hawatakutesa kamwe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…