Jamani vodaCom mnataka nini kwetu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani vodaCom mnataka nini kwetu?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Slave, Sep 5, 2011.

 1. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Vodacom leo umenitumia ujumbe unaosema: umeshinda kiingilio bure katika droo ya samsung flat screen TV Leo na vodacom!tuma jina lako BILA GHARAMA kwenda 15015 sasa hatukutanii! vodacom mimi nimepata taabu kidogo kukuelewa ktk haya: 1 nimeshinda kiingilio!je unauhakika nilicheza mchezo wowote mpaka nishinde? 2 tuma kwenda 15015 sasa hatukutanii! Ina maana tangu nianze kutumia line yangu hii ya voda niliyo inunua kwa tsh 10,000 enzi hizo leo ndo umekuwa mkweli wakuniambia hunitanii?na je umewahi kunitania malangapi? Vodacom mbona unakosa hekima? Bado umenigeuza mimi bango la matangazo yako katika simu yangu mala ooh kazi ni kwako nk.au hujui kuwa hii hand set na sim card ni mali yangu? Vodacom punguza usanii utatumaliza.
   
 2. zaratustra

  zaratustra JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 849
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Yaani hiyo sms na mimi nimeipata, hata mke wangu ananiambia na yeye ameipata, VODACOM, tuko washindi wangapi wa hiyo samsung flat screen moja?
   
 3. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #3
  Sep 5, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,054
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  Pole Mkuu! Wanafanya watakavyo! Mtumiaji wa simu na mtandao hana mjomba nchi hii, wacha watutie midole ya masaburi mpaka tuipate ki sawa yake. TCRA wao kila kitu wanataka wapelekewe malalamiko ofisini, hivi hawa wakubwa wa TCRA wanatumia mitandao gani kiasi hawazioni kero hizi jamani? Nakereka sana yani... Daah!
   
 4. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #4
  Sep 5, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  yaani sina ham nao kabisa inamaa inawezekana kila mtumiaji kaambiwa kama nilivyoambiwa mimi na wewe.
   
 5. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #5
  Sep 6, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  wakati mwingine najiulia hata TCRA wapo hapo kwa kuhakikisha makampuni kama haya yananeemeka na sio wa tz.
   
 6. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #6
  Sep 6, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  TCRA nao si legelege tuu ndo maana wanapeta!
   
 7. chrisman49

  chrisman49 JF-Expert Member

  #7
  Sep 6, 2011
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 713
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Dah hata mm
   
 8. M

  MWENDAKULIMA JF-Expert Member

  #8
  Sep 6, 2011
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 961
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Duh,mkuu hata mimi nilipata hiyo msg weekend iliyopita.Naona watu wameanza kuwashtukia na hizo kamari zao wanakuja kivingine na maneno ya ghilba.Tuendelee kuwakazia wasipate washiriki kwenye haya madudu yao wataacha tu!!
   
 9. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #9
  Sep 6, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  ninaamini kabisa kama tutapata mtetezi tunaweza kushinda maana hii ni vita katika ya mafisadi na wananchi masikini.
  eti sasa hivi hata ukimpunguzia wenzio salio unakatwa ushuru wakuhamishia hizo pesa.yaani hivi sasa nipige simu au nisipige lajini wao wanajua namna watakafanya ili tu zinitoke wao wafaidi.
   
 10. L

  Lepapalongo Member

  #10
  Sep 7, 2011
  Joined: Jan 28, 2009
  Messages: 91
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Voda shiit japo ndo mtandao ninaotumia kwanza now days umekuwa very overload esp kwenye internet 3g ya maabara siitaki hiyo hata wewe mbeya wao fikisha hizi habari mbona mnafuatilia 2 kutufungia free access ina maana haya hamyaoni?
   
 11. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #11
  Sep 8, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,776
  Likes Received: 7,094
  Trophy Points: 280
  sasa jamani si free competition?? Umetumwa ubaki voda??? Kuna zantel, tigo, airtel huna haja ya kulalamika jf kama mtandao huupend hamaaaaa
   
 12. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #12
  Sep 8, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  kuhama si tatizo.tatizo ni namna gani mnatuibia bila huruma.kwakuwa mnajua tanzania ni nchi masikini ndiyo maana mnaanzisha ka issue ambako mtanzania anaweza kukaona kama mkombozi kwa kujipatia tv ya bure na mwisho wa siku mnasema mchezo umeisha leo na mshindi wetu ni xxxxx kumbe huyo mshindi mwenyewe ni miongoni mwenu.
   
 13. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #13
  Sep 9, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />

  Wameanzisha hivi punde

  suma-jkt kampeni ya kilimo kwanza iko hewani.kushinda trekta,pawatila na fedha tuma KILIMO kwenda 15551,ujibu maswali na uingie katika droo.piga 0222127579 kwa maelezo

  From vodacom
  shamba la bibi wanatafuna talatibu
   
 14. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #14
  Sep 9, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  ha!ha!haa! Kazi ni kwetu kweli kama walivyo sema vodacom wenyewe kwamba KAZI NI KWAKO.twafa jamani tuoneeni huruma .sasa kumbe na huko kijijini nako wamewakumbuka wa trekta na pawatila. ? Hii sikuinyaka mkuu thanx kwa taarifa.
   
 15. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #15
  Sep 9, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  duh! Wapo fasta ile mbaya nami nimeipa sasa hivi.
   
 16. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #16
  Sep 9, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,273
  Trophy Points: 280
  Bahati nzuri mimi tangu nigunduwe Vodacom ni mali ya Rostam Aziz ilishanikinai, nilichofanya nilinunuwa line ya tigo nikaitambulisha kwa marafiki zangu mpaka hivi leo tunavyoongea line ya vodacom kwangu ni receiver tu kwa ajili ya wale marafiki ambao hatujawasiliana siku nyingi, maana hakuna mjanja yeyote ambae hana line ya tigo.

  kwa mwezi nanunuwa vocha za voda kwa wastani usiozidi shilling 5000/- tu. sasa wamekuja na wizi mpya unaoitwa M pesa yaani wanataka kutudhibiti hadi kwenye mfumo wetu wa kipesa, tuwe macho na hawa Freemasson.
   
 17. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #17
  Sep 10, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  sijui serikali inasemaje kuhusu hili,maana hii ni kamali au rugha nzuri ni wizi.ninaamini kabisa huu umaskini uliyopo tz hii nayo inachangia.maana mtu anajikuta kapoteza pesa ktk isue isiyo na maana kama hii.
   
 18. It is Sur_Plus

  It is Sur_Plus Senior Member

  #18
  Sep 11, 2011
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mshaliwa wote kazi ni kwako uhame au uendelee kuliwa
   
 19. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #19
  Sep 11, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mimi nimeshtuliwa usiku wa manane kwa mlio wa sms nikahisi nimepata msiba kumbe voda wanataka kunipa flat screen!!!!!
  TCRA= Ewura=TFDA.........
   
 20. j

  juniornduti Member

  #20
  Sep 11, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaka hapo ndo namimi wanaponiboa! kama hujagundua airtel ndowaukweli kwasasa! hata internet yao iko poa!
   
Loading...