Jamani vodaCom mnataka nini kwetu?

Jamani vodaCom mnataka nini kwetu?

nilitaka kulalamika lakini nilipoona hizi picha za maiti hawa sina haki ya kuwaamulia waZanzibari kwenye maamuzi yao

IMG_7054.JPG

IMG_6995.JPG

IMG_6926.JPG

IMG_6975.JPG

IMG_9142.jpg

DSC_0522.JPG

nilitaka kulalamika lakini nilipoona hizi picha za maiti hawa sina haki ya kuwaamulia waZanzibari kwenye maamuzi yao

sinto isahau hii pamoja na ile ya mwanza ya mv.bukuba. Wote tuna jua hii ni ajali japo mimi naanza kuhiri there is secret behind.

@slave, wanaposema vigezo na masharti kuzingatiwa. Labda kuna mahali ambapo mteja lazima akubaliane na advertisement za jinsi hii, maana huwa naishia kuona hiyo kauli na si hivyo vigezo vikiainishwa pamoja na masharti yake

hilo nalo ni bomu kubwa linalotumiwa na vodacom. Kama jinsi ambavyo mtz anavyoishi ktk nchi yake bila kujua katiba ya nchi yake.mfano unapotaka kujiua ndipo utakapo ona sheria inasemaje.hata voda unaweza pengine ukashinda kwa bahati mbaya vigezo vikakuengua.labda washiriki wanatakiwa wawe na miaka si chini 90.

@slave, wanaposema vigezo na masharti kuzingatiwa. Labda kuna mahali ambapo mteja lazima akubaliane na advertisement za jinsi hii, maana huwa naishia kuona hiyo kauli na si hivyo vigezo vikiainishwa pamoja na masharti yake
inamaana wewe hujaona hili tangazo? Basi utatoa faini Ya sh5000. Hapo unakuta tangazo limefichwa au lipo nyumba ya pili wewe unapita na simu yako ya mchina gafla inaita kumbe pale hapatakiwi kelele na tangazo limefichwa ili wanase wengi.

Vodacom leo umenitumia ujumbe unaosema: umeshinda kiingilio bure katika droo ya samsung flat screen TV Leo na vodacom!tuma jina lako BILA GHARAMA kwenda 15015 sasa hatukutanii! vodacom mimi nimepata taabu kidogo kukuelewa ktk haya: 1 nimeshinda kiingilio!je unauhakika nilicheza mchezo wowote mpaka nishinde? 2 tuma kwenda 15015 sasa hatukutanii! Ina maana tangu nianze kutumia line yangu hii ya voda niliyo inunua kwa tsh 10,000 enzi hizo leo ndo umekuwa mkweli wakuniambia hunitanii?na je umewahi kunitania malangapi? Vodacom mbona unakosa hekima? Bado umenigeuza mimi bango la matangazo yako katika simu yangu mala ooh kazi ni kwako nk.au hujui kuwa hii hand set na sim card ni mali yangu? Vodacom punguza usanii utatumaliza.
Sasa mtu atume jina la nini wakati hizo SIM card zilishasajiliwa? Mtu akiandika jina ambalo halikusajiliwa bado watampokea? Hizi sms za promotions au bahati nasibu toka makampuni ya simu huwa zinaboa sana.

mkuu sijui tuhamie mtandao gani maana yote inaboa!sasa kuna hao tigoooooo mh ni balaaaaaaaaaaaaa!

You are very right. Wanaotengeneza matangazo ya promotion sidhani kama wanafikiria, hao airtel mpaka leo bado wana tangazo la msimu wa ramadhani!!

mkuu sijui tuhamie mtandao gani maana yote inaboa!sasa kuna hao tigoooooo mh ni balaaaaaaaaaaaaa!
hapo sasa ndo inabidi wataalamu wetu wa ndani waumize vichwa namna ya kuunda mfumo mpya wa mawasiliano ambao pengine tunaweza kuepuka vipigo vya hawa ma feel sad

namimi nimeipata na mama mkwe wangu naye kaipata.
kumbe wateja wote wa vodacom wamepata. Hivi tunaweza tukajua voda com wana wateja wangapi kati ya wa tz ml40? Kisha tufanye hesabu kama kila mteja wao wanamkata 550. Watakuwa na pesa ngapi.pia hizo tv wanazotoa zinalingana na hiyo mipesa waliyochuma?

Tz inabidi ipelekwe kwa sangoma.maana vyanzo vya mapato vingi ila pesa haikai.ukipata pesa tu tayari akina voda,maisha ya kila siku nk wanaiangalia hiyo hiyo. Pengine nyufa za kutolea pesa zingezibwa tz ingekuwa juu..(inlet na outlet)

Back
Top Bottom