mhh kama naangalia movie ya kichina vile cjui nimeelewa au cjaelewa zo naona mada imekaa kama vile ya mtu ambaye hajafikiri kabla ya kupost
unaweza ukala ban la muungano bora upite tu
Ndio kwanza leo nini?
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums