Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,974 Reaction score 13,432 Nov 21, 2011 #21 arabianfalcon said: Kwani amechukua milioni ngapi au kachukua viji senti tuu? wacha achukue mkweo huyo bila yeye mke ungekua hunae.. Click to expand... sasa ndio achukue kama aliziweka?Nalog off
arabianfalcon said: Kwani amechukua milioni ngapi au kachukua viji senti tuu? wacha achukue mkweo huyo bila yeye mke ungekua hunae.. Click to expand... sasa ndio achukue kama aliziweka?Nalog off
bombu JF-Expert Member Joined Jun 8, 2011 Posts 1,127 Reaction score 544 Nov 21, 2011 #22 mafiakisiwani said: namaanisha chochote kile. Mfano mie nakutaka ili uwe my wife wangu ni lazima kwanza unichune halafu ndio unipe tunda? Click to expand... duh! kumbe nilikuwa sijakuelewa banaaa nisamehe buree. Ila hapo kwenye kuchuna sijakubaliana na wewe,
mafiakisiwani said: namaanisha chochote kile. Mfano mie nakutaka ili uwe my wife wangu ni lazima kwanza unichune halafu ndio unipe tunda? Click to expand... duh! kumbe nilikuwa sijakuelewa banaaa nisamehe buree. Ila hapo kwenye kuchuna sijakubaliana na wewe,
Chatumkali JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 2,037 Reaction score 459 Nov 21, 2011 #23 Sasa mama mkwe hapo anatatizo gani?Anachukua mwenyewe kwa nguvu?Si anapewa na mwanae<mkeo>?Hata ukimpiga marufuku asifike hapo si atapelekewa tu kwa nja nyingine bana!We mkoromee mkeo tu.
Sasa mama mkwe hapo anatatizo gani?Anachukua mwenyewe kwa nguvu?Si anapewa na mwanae<mkeo>?Hata ukimpiga marufuku asifike hapo si atapelekewa tu kwa nja nyingine bana!We mkoromee mkeo tu.
Sniper JF-Expert Member Joined Mar 8, 2008 Posts 2,008 Reaction score 950 Nov 21, 2011 #24 Washawasha said: malizana naye kisela huyo mamkwe wako.Nalog off Click to expand... Ahahahaha, Washawasha bana, umenifurahisha sana mkuu
Washawasha said: malizana naye kisela huyo mamkwe wako.Nalog off Click to expand... Ahahahaha, Washawasha bana, umenifurahisha sana mkuu
Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,974 Reaction score 13,432 Nov 21, 2011 #25 Sniper said: Ahahahaha, Washawasha bana, umenifurahisha sana mkuu Click to expand... umeona eh! mama wakwe wengine wanazingua bangi kinoma.Nalog off
Sniper said: Ahahahaha, Washawasha bana, umenifurahisha sana mkuu Click to expand... umeona eh! mama wakwe wengine wanazingua bangi kinoma.Nalog off
BPM JF-Expert Member Joined Mar 10, 2011 Posts 2,760 Reaction score 576 Nov 21, 2011 #26 inaonekana hupeleki matumizi ukweni kwako sasa njia ya kupata hayo matumizi ni kwa njia ya mikopo ya staili hiyo
inaonekana hupeleki matumizi ukweni kwako sasa njia ya kupata hayo matumizi ni kwa njia ya mikopo ya staili hiyo
Shine JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 11,481 Reaction score 1,372 Nov 21, 2011 #27 Mnaolea jirani na hom kazi kweli kweli
mafiakisiwani JF-Expert Member Joined Feb 19, 2011 Posts 833 Reaction score 620 Nov 21, 2011 #28 bombu said: duh! kumbe nilikuwa sijakuelewa banaaa nisamehe buree. Ila hapo kwenye kuchuna sijakubaliana na wewe, Click to expand... kwanini unanipinga?
bombu said: duh! kumbe nilikuwa sijakuelewa banaaa nisamehe buree. Ila hapo kwenye kuchuna sijakubaliana na wewe, Click to expand... kwanini unanipinga?
bombu JF-Expert Member Joined Jun 8, 2011 Posts 1,127 Reaction score 544 Nov 22, 2011 #29 mafiakisiwani said: kwanini unanipinga? Click to expand... kwa sababu sio relevant example kwa hii thread
mafiakisiwani said: kwanini unanipinga? Click to expand... kwa sababu sio relevant example kwa hii thread