Wanafiki sana. Wanakuchekea huku wanakuchimba. Ukale ugali wa muhogo na usafiri wa uhakika ni mitumbwi kwenda kwenye maeneo ya kazi. Ukerewe ina Visiwa zaidi ya 29.
wadau katika sehemu nilizokuwa sifikiri kufanya kazi wala moyoni mwangu hakumo ni ukerewe. Hatimaye leo nimepangiwa niende huko. All in all only God know it.
Mi nacheka tu sio kwa dharau lakini ila ni utumwa wa hizi kazi zetu unapelekwa usipo patarajia ambition zote zinagoma....any way komaa tu utatoka tu kambi popote mkuu.
Mi nacheka tu sio kwa
dharau lakini ila ni utumwa wa hizi kazi zetu unapelekwa usipo patarajia
ambition zote zinagoma....any way komaa tu utatoka tu kambi popote
mkuu.
Ukerewe Kwetu.pazuri Sana.maji Kila Kijiji,umeme Kila Kijiji.usiogope ,ww Njoo Utapapenda.samaki Ni Wakutosha Kabisa Na Hao Ndo Watakufanya Uipende.barabara Safi Kabisa
Ukerewe Kwetu.pazuri
Sana.maji Kila Kijiji,umeme Kila Kijiji.usiogope ,ww Njoo
Utapapenda.samaki Ni Wakutosha Kabisa Na Hao Ndo Watakufanya
Uipende.barabara Safi Kabisa