Jamani, tuwe wakweli, uzi wa CHADEMA ni mkali sana

Jamani, tuwe wakweli, uzi wa CHADEMA ni mkali sana

Mantombazane

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2014
Posts
579
Reaction score
367
Kila chama kina rangi yake na sare zake. Lakini kusema ukweli uzi wa CHADEMA ni wa kuotea mbali. Hiki chama kina watu makini sana. Ule uzi unaweza kuuvaa sehemu yoyote yaani ni all weather. Unaweza kuuvaa kanisani ukaonekana ni nguo ya kawaida, msikitini, kwenye burudani kokote kule unakotaka. Big up sana kwa mbunifu wa CHADEMA sare. Ule uzi ukiuvaa kama ni kijana unazidi kuonekana kijana mdogo kabisa tena ukiwa unaonesha kunawiri na kama ni mtu mzima au mzee ukivaa uzi ule unaonekana ni kijana kabisa. Kapelo yao imetulia kama ile ya John Sina. Halafu alama yao ni Universal yaani dunia nzima V yaani ushindi au Victory. Yaani, hatari kabisa!

Ila jamani pia tuseme ukweli kuna lichama fulani chovu sana. Yaani sare yake ukivaa kama ni kijana unaonekana mzee na kama ni mzee unaonekana kikongwe muda huo huo. Kama ulikuwa unang'aa utaonekana umefubaa muda huo huo. Ubora wa uzi wake ni wa kiwango cha chini sana. Yaani ukivaa uzi ule unatakiwa uwe unakwenda porini kuwinda au kuamia ngedere wasiharibu mazao shambani. Ukija kwenye Tshirt zao ni hovyo kabisa! Miandishi mikubwa utafikiri Tshirt za shule. Ndo utashangaa kukuta mpaka leo watu wanavaa litshirt limeandikwa "CHAGUA MKAPA au CHAGUA KIKWETE" na kapelo zao ni hivyo hivyo! Wakitembea barabarani yaani hadi utawaonea huruma. Alama yao ni jembe na nyundo yaani nyundo ya kuwapigia wananchi ili wabaki kuwa masikini milele ili kiendelee kuwatawala na jembe la kuchimbia kaburi na kuwazika wakisha kufa kwa umasikini na maradhi. Chama hakina mbunifu kabisa wa sare inawezekana alishakufa.
 
Nadhani ingekua you pay for posting any article in this forum I believe usingekibali kulipa coz what u have posted is rubbish!
 
Tunaomba sana Tshirts za CHADEMA zisambazwe nchi nzima ili wale wenye mapenzi na Chama tuzinunue na hata kuwanunulia pia wapenzi wa Chama chetu. Fanyeni haraka zitufikie huku Mkoani kabla ya kuanza kampeni ya Chama.
 
Muulize mama yako akuambie baba yako ni nani? Kama unao ujasiri nikuambie alama alizonazo mama yako sehemu nyeti ikumuangalie ili kuthibitisha nitakayokuambia!

Kuna sababu yoyote ya kuwaingiza wazazi kwenye hii mada yenu? Tukananeni nyie kwa nyie, tuwaheshimu wazazi.

Tofauti ya itikadi za kisiasa zisije zikatuletea laana ya bure.

Ni ushauri tu
 
Teh teh teh ni shiiiiiiiiiiida shiiiiiiiiiiidani
 
Back
Top Bottom