kwa kifupi tu,kwa nini mtu anadanganya au anatoa taarifa isiyo sahihi?
ni faida gani mtu anayoipata anapotudanganya kuwa tcu wametoa majina ya vyuo tulivyochaguliwa?
ninaamini wote tuliopo humu ni waelevu,sasa kwa nini ulidhalilishe jukwaa hili?
tafadhali jamani naomba tuwe sahihi kwa kila taarifa tunayoitoa hapa,na ninaomba kwa yeyote anayetoa taarifa ya uongo kwa makusudu afungiwe
nawasilisha
Hayabadili chochote.....chuo ulichokiona jana ndo hiko hiko unaenda ha ha ha ha ha
WE ARE SORRY.
hayo majina yalileak. na aliyefanya vile hatua na kinidhamu zitachukuliwa juu yake.
TUNATEGEMEA KUTOA MAJINA YOTE NA YA WALE WALIOOMBA KWA SIFA ZA DIPLOMA KUPITIA NACTE tarehe 22/09/2014.
miaka yote mbona yana leak - hao hawajifunzi kwa hatua za nidhamu mnazowachukulia? mwaka jana zili leak kupitia mfumo wa mtandao fulani (jina kapuni) - mlichukua hatua gani ili isijirudie mwaka huu.
yaliyo leak mwaka jana yalibaki na ukweli wake ule ule na hata mwaka huu imani ni hiyohiyo.
HATA WALIOHUSIKA MWAKA jana HATUA ZA KINIDHAMU ZILICHUKULIWA NA NIVIGUMU WW KUFAHAMU HILO NI JUKUMU LA TAASISI.
MATOKEO RASMI YANATEGEMEWA KUTOLEWA YOTE NA YALE YA NACTE 22/09/2014.
AHSANTENI
Mwanakijiji,
nimeshangaa sasa Waziri Mkuu anapanga mikakati ya utekelezaji kwa kucheza dansi? only in Tanzania!!
Tunahitaji mapaparatzi watakaotengeneza filamu ya jinsi viongozi wa Tanzania wanavyokula starehe wakati wananchi wanaishi kwa tabu.
Waandishi wa habari na Viongozi wa Upinzani nao wamelaza damu. Kwanini wamenyamaza wakati ubadhirifu na ubinafsi unaendelea mbele ya macho yao?