Jamani tuwasaidie wanandoa hawa


Kweli mawifi noma!! duh bora kuishi na mashemeji mia kuliko mawifi kumi, Sasa imekula kwake nyambafu zake,Aliona wifi yake hafai kusaidiwa ila yeye anafaa.,Chenzi kabisa,Tena mwambie mmewe akomae hivyohivyo.
 
Asingem-mind mkewe... tatizo mkewe ni ainabya mawifi wenye ghubu....

Ila angempa darasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…