Usimpende kwakua amenusurika na kifo,mpende 24/7 sababu huna chakumlipa laitani ungejua Mama anapitia mitihani gani kuanzia mimba mpaka kujifungua mpaka kukule na amesamehe mangapi kwa ajili ya mwanawe,inshallah mwenyezi mungu wape mama zetu maisha marefu na walio tangulia mbele za haki awasamehe madhabi yao....
ok shushia na wimbo wa christian bella nani kama mama