Na sijui kwa muda huu kama bado ipo au wajanja wamesha piga bei maana kila kitu ni kupiga mkwanja tuu na kwa sasa naona bado mlima wa kilimanjaro tuu ndo uliobaki na huo naona kama bei ni bora apewe mzawa maana vyote wamepewa wadhungu na machina na wahindi huo sasa ni mzalindo tuu