Jamani tukumbuke kufanya mazoezi kwa afya bora

Pastor Achachanda

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2012
Posts
3,023
Reaction score
1,317
bddbc7de5417a8b23caf382cf8e48183.jpg
 
Asikwambie mtu Martial arts ukiijua tamu sana, hasa Miguu ikiwa softly kuweza kunyanyuka kupiga Mawashi.
Mguu ulionyanyuliwa na Bint wa kwanza kulia, hiyo stance kinachofuata baada ya hapo utazungushwa Mguu wa kulia kidogo kupata balance ya Mguu wa Kushoto Kwenda juu, baada ya hapo Mwanangu Body ita Bend kidogo, Baada ya hapo unapigwa Kofi la Mguu, ama litue Shavuni au Shingoni, hapo utakuwa umepigwa Mawashi geri.
Huyo Bint Mtamu kwenye hiyo mipango.
Respect kwake aliyeileta Martial Arts Duniani.
 
Nyinyi makafiri bwana ni kichwa vyenu ni kama sponji vinanyonya chochote ulicho ingiza kumbe akina don yen jack Chen na wengine wengi na wewe unaziangalia picha zao wao na wewe unae ziangali na nyinyi ni magaidi? jifunze
 
Asikwambie mtu Martial arts ukiijua tamu sana, hasa Miguu ikiwa softly kuweza kunyanyuka kupiga Mawashi.
Mguu ulionyanyuliwa na Bint wa kwanza kulia, hiyo stance kinachofuata baada ya hapo utazungushwa Mguu wa kulia kidogo kupata balance ya Mguu wa Kushoto Kwenda juu, baada ya hapo Mwanangu Body ita Bend kidogo, Baada ya hapo unapigwa Kofi la Mguu, ama litue Shavuni au Shingoni, hapo utakuwa umepigwa Mawashi geri.
Huyo Bint Mtamu kwenye hiyo mipango.
Respect kwake aliyeileta Martial Arts Duniani.
Kwa kweli, nilikimbia haya mazoezi. Alikuwa akifundisha ustaadh mmoja hivi kila alfajiri. Kumbe maustadhi wengi wapo vizuri katika hili.
 
Kwao hayo mazoezi ni jambo la kawaida sana.

Tena kipindi cha mfungo,hufanyia mjengoni kabisa au kwenye viwanja vya mpira.
 
Asikwambie mtu Martial arts ukiijua tamu sana, hasa Miguu ikiwa softly kuweza kunyanyuka kupiga Mawashi.
Mguu ulionyanyuliwa na Bint wa kwanza kulia, hiyo stance kinachofuata baada ya hapo utazungushwa Mguu wa kulia kidogo kupata balance ya Mguu wa Kushoto Kwenda juu, baada ya hapo Mwanangu Body ita Bend kidogo, Baada ya hapo unapigwa Kofi la Mguu, ama litue Shavuni au Shingoni, hapo utakuwa umepigwa Mawashi geri.
Huyo Bint Mtamu kwenye hiyo mipango.
Respect kwake aliyeileta Martial Arts Duniani.
Mkuu sijakuelewa ujue!! Unaongelea yale mambo yetu ya 6x6
 
images.png

Hawa ni wanafunzi wa St. Mary Goret Moshi...
Njau.jpg

Hapo Sister Njau akiwapa nasaha..
92742.jpg

Wanafunzi wakiwa wanajisomea wenyewe...
24864.jpg

Mambo mengine tunaona kwa macho tuu halafu tunahitimisha ....Kuna tifauti kubwa sana
 
Back
Top Bottom