Ilankunda1234
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 4,842
- 4,777
wewe huu si wakati wa kuhoji.... piga makofi tafadhali........Waziri Mkuu Majaliwa Kaguswa na kero za Elimu, katoa maagizo haya ndani ya Bunge..:
Waziri Mkuu Majaliwa Kaguswa na kero za Elimu, katoa maagizo haya ndani ya Bunge.. - TZA_MillardAyo
Pamoja na yote ya kutumbuana majipu lakini ni vema ukajengwa mfumo thabiti wenye mission na vision...kama ulivyosema tatizo la elimu sio la kumalizwa kihivyoHivi hii serikali imemaliza hata mwaka madarakani kweli ? Au watanzania tumezoea mazingaubwe. Tunataka kila kitu kifanyike sasa hivi .
Tatizo la Elimu TANZANIA ni kubwa mno wangelimaliza ndani ya miezi michache ingelikuwa shombo tupu.
Muda , Fedha na Wataalum wa mambo ya Taaluma wanatakiwa hapa. Na Tuwe na subira si kila kitu kukosoa.
Na vigelegele juu. Tena tunaambiwa muongozo wa serikali awamu ya tano unasema hata TAMISEMI iko chini ya PMO na mkulu anasema ni chini ya Ofisi yake. Yote hayo shangilia, hata kama mambo ni vululuvululu haijalishi mradi majipu tuu na kuwafanya watu nao waishi kama shetani hata kama na sisi wachini mkate utatushinda.wewe huu si wakati wa kuhoji.... piga makofi tafadhali........
Hivi hii serikali imemaliza hata mwaka madarakani kweli ? Au watanzania tumezoea mazingaubwe. Tunataka kila kitu kifanyike sasa hivi .
Tatizo la Elimu TANZANIA ni kubwa mno wangelimaliza ndani ya miezi michache ingelikuwa shombo tupu.
Muda , Fedha na Wataalum wa mambo ya Taaluma wanatakiwa hapa. Na Tuwe na subira si kila kitu kukosoa.
Na wabongo nao wanashangilia watu kushushwa wawe kama wao badala ya kutamani wapandishwe wawe kama wao....Na vigelegele juu. Tena tunaambiwa muongozo wa serikali awamu ya tano unasema hata TAMISEMI iko chini ya PMO na mkulu anasema ni chini ya Ofisi yake. Yote hayo shangilia, hata kama mambo ni vululuvululu haijalishi mradi majipu tuu na kuwafanya watu nao waishi kama shetani hata kama na sisi wachini mkate utatushinda.
Uchungu ungekuwa na tija watu wasingezaa hovyo.Yaani bado kuna kero kumbe?
sio kwamba kero zimeisha?
si tuna Rais mzalendo mwenye uchungu?
na waziri wa elimu aliepigiwa debe kuwa ana solution za kero hizo?
Pamoja na yote ya kutumbuana majipu lakini ni vema ukajengwa mfumo thabiti wenye mission na vision...kama ulivyosema tatizo la elimu sio la kumalizwa kihivyo
Ni sawa usemacho. Labda tayari wanayo hiyo vision lakini sasa ku implement ndio Kazi. Maana itawa affect watoto na wengine kwenye sector ya elimu na pia inachukua muda .Pamoja na yote ya kutumbuana majipu lakini ni vema ukajengwa mfumo thabiti wenye mission na vision...kama ulivyosema tatizo la elimu sio la kumalizwa kihivyo