Jamani tuendako sasa tujiulize ivi ni sahihi kwa hili?

Aisee ngoja nivute castle lager baridiiiiiiiii...maaana hakuna jipya,unajikuta magu kamaliza 10yrs,ehehe unaanza moja kuishi kwa matumaini na Sanaa hizi
 
Hivi hii serikali imemaliza hata mwaka madarakani kweli ? Au watanzania tumezoea mazingaubwe. Tunataka kila kitu kifanyike sasa hivi .

Tatizo la Elimu TANZANIA ni kubwa mno wangelimaliza ndani ya miezi michache ingelikuwa shombo tupu.

Muda , Fedha na Wataalum wa mambo ya Taaluma wanatakiwa hapa. Na Tuwe na subira si kila kitu kukosoa.
 
Pamoja na yote ya kutumbuana majipu lakini ni vema ukajengwa mfumo thabiti wenye mission na vision...kama ulivyosema tatizo la elimu sio la kumalizwa kihivyo
 
wewe huu si wakati wa kuhoji.... piga makofi tafadhali........
Na vigelegele juu. Tena tunaambiwa muongozo wa serikali awamu ya tano unasema hata TAMISEMI iko chini ya PMO na mkulu anasema ni chini ya Ofisi yake. Yote hayo shangilia, hata kama mambo ni vululuvululu haijalishi mradi majipu tuu na kuwafanya watu nao waishi kama shetani hata kama na sisi wachini mkate utatushinda.
 
Hivi hii serikali imemaliza hata mwaka madarakani kweli ? Au watanzania tumezoea mazingaubwe. Tunataka kila kitu kifanyike sasa hivi .

Tatizo la Elimu TANZANIA ni kubwa mno wangelimaliza ndani ya miezi michache ingelikuwa shombo tupu.

Muda , Fedha na Wataalum wa mambo ya Taaluma wanatakiwa hapa. Na Tuwe na subira si kila kitu kukosoa.

Hadithi wakati wa mwanzo ilikuwa serekali haina hata mwezi, sasa ni miezi, mnasema hata mwaka bado. Mwaka ukiisha mtesema hata haina miaka miwili jamani. Ikiisha miwili tutaamishwa mpaka miaka mitano. Ikiisha hiyo mitano tutaambiwa kuna utamaduni wa miaka kumi ndio mtu akamilishe kabisa kile alichokianza. Tukija kuhamaki ndio tumeliwa hivyo, hadithi za hivi ndio zilipelekea viwanda vyetu kuuzwa vyote kwa wawekezaji leo hii, wawekezaji hawako kwenye viwanda maana vyote vimekufa. Sasa wamehamia kwenye raslimali nazo zikiisha tutaanza hadithi nyingine. Kama wengine mnasifia, wengine tunakosoa ili nchi isonge mbele.
 
Na vigelegele juu. Tena tunaambiwa muongozo wa serikali awamu ya tano unasema hata TAMISEMI iko chini ya PMO na mkulu anasema ni chini ya Ofisi yake. Yote hayo shangilia, hata kama mambo ni vululuvululu haijalishi mradi majipu tuu na kuwafanya watu nao waishi kama shetani hata kama na sisi wachini mkate utatushinda.
Na wabongo nao wanashangilia watu kushushwa wawe kama wao badala ya kutamani wapandishwe wawe kama wao....
 
Pamoja na yote ya kutumbuana majipu lakini ni vema ukajengwa mfumo thabiti wenye mission na vision...kama ulivyosema tatizo la elimu sio la kumalizwa kihivyo

Hivyo vitu ulivyosema hupatikana tu kwa watu waliojipanga..... si hawa waliotwaa madaraka kwa ajali na wanaoishi kwa hofu na woga.
 
Pamoja na yote ya kutumbuana majipu lakini ni vema ukajengwa mfumo thabiti wenye mission na vision...kama ulivyosema tatizo la elimu sio la kumalizwa kihivyo
Ni sawa usemacho. Labda tayari wanayo hiyo vision lakini sasa ku implement ndio Kazi. Maana itawa affect watoto na wengine kwenye sector ya elimu na pia inachukua muda .
 
Maisha mazuuri tulikuwa tunataka hivi ccm hoyee watoto wetu wanasoma bure kazi yetu wananchi kuzaa tu viwanda ndo vinajengwa umeme bwerere tulikuwa tunakerwa bungeni mativii yanatuonyesha siri za bunge hiyo kero tumetatuliwa tayari hatuoni bunge live hongereni hapa kazi tu. Live bunge mapato yatapungua wasomi wetu wamegudua maisha safii kama libya ya gadafi bunge la bajeti tunawekewa bajeti ya mahari mungu atupe nini chini ya utawala wa chichiemu.
 
Yani napata hasira kwa kiwango cha juu mno.
Hili ni bomu likilipuka sijui itakuaje aseeee. Hivi nimekumbuka tunadili na majipu ila hili la salatani lazima twende india, huu ni uvimbe wa ini hivyo hautumbuliwi kwa sindano wala mkasi
 
Back
Top Bottom