Jamani tuchambueni uendeshaji wa BBC Swahili kwa umakini

Dik

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2011
Posts
1,205
Reaction score
416
Nimekuwa nikifuatilia sana kipindi hiki cha bbc swahili kinachorushwa na star tv. Kuna jambo.

Hebu pasipo kuchambua sana karibuni wadau muweke inputs hapa
 
kuna tetesi/malalamiko kuwa uongozi wa sasa unao simamia bbc swahili,umetawaliwa na udini hasa ile dini yetu...hii ni baada ya tido muhando kurudi nyumbani na kumuachia bwana mmoja wa dini yetu ambaye ni mwenyeji wa huko mombasa kenya.
 
something nocking...
 
Si ndo kasema hiyo shida ya kutoelewa kuna nini?.....
 
naona mtoa hayupo makini na pia haeleweki anachotaka kuelezea. hivyo basi sijaona cha kujadili hapa.
 
kuna tetesi/malalamiko kuwa uongozi wa sasa unao simamia bbc swahili,umetawaliwa na udini hasa ile dini yetu...hii ni baada ya tido muhando kurudi nyumbani na kumuachia bwana mmoja wa dini yetu ambaye ni mwenyeji wa huko mombasa kenya.

Yap...Kama ile habari ya jana ya Shule za kiislamu UK.....

Jamaa wakaonesha Rwanda eti Catholic Schools zinachukua wanafunzi wa dini zote ila wanapaswa kufuata masharti ya kikatoliki lakini Muslim school wanachukua wanafunzi wa dini zote (Muslim/Christian) ila vipindi vya dini kila mwanafinzi anaruhusiwa ku-practise dini yake bila ubaguzi.....

Jamaa alikuwa kama anaitetea zaidi deen yetu..
 
kuna tetesi/malalamiko kuwa uongozi wa sasa unao simamia bbc swahili,umetawaliwa na udini hasa ile dini yetu...hii ni baada ya tido muhando kurudi nyumbani na kumuachia bwana mmoja wa dini yetu ambaye ni mwenyeji wa huko mombasa kenya.

Chatles Hillary nae ni muislam?acha udini ndugu yangu waislam mmewabana kila sekta bado tuu hamridhiki?wakristo wana vyuo vikuu vingapi na hospital ngapi hapa tanzania ukilinganisha na waislam.Hao wafanyakazi wachache BBC wanaosali wanakunyima usingizi.....huna busara kabisa
 
Mleta mada ana ishu za udini...watz tusijadili udini maana huu ndio mwanzo
 
kuna tetesi/malalamiko kuwa uongozi wa sasa unao simamia bbc swahili,umetawaliwa na udini hasa ile dini yetu...hii ni baada ya tido muhando kurudi nyumbani na kumuachia bwana mmoja wa dini yetu ambaye ni mwenyeji wa huko mombasa kenya.
unawashwa!
 
Back
Top Bottom