Juzi jirani yangu alirudi kutoka safari ya kikazi ambayo alikua huko mkoani Mbeya,
alivyorudi alikua amemmiss sana mke wake kias ambacho alishindwa hata kuvumilia kuendelea na kazi mkoani humo.
Ila kimbembe kimekuja pale alipomkuta mkewe amevaa khanga iliyoandikwa "kuliko kioze bora nimpe jirani".
Shida inakuja pale ambapo yule mume anahisi labda mimi ndie ninayemreplace pale anapokua hayupo coz hapo tunapoishi tupo mimi na yeye tu.
Je nifanyaje ili jirani yangu aweze kuamini kwamba sihusiki na mkewe.
chezea uswazi wewe, kila kitu kinamaanisha, asipovaa khanga ataweka taarabu , achukulie poa tu kama ye c wa mwambao yasimuumize kichwa atuachie wenyewe
Mie khanga za "NATAKA PAJA MIE HAKINITOSHI KIPAPATIO" zanikosha kweli kweli!!!!! Na hii ya "KIZURI KULA NA WENZIO, KIBAYA MPE MBWA" yanichanganya kwelikweli.
Mie khanga za "NATAKA PAJA MIE HAKINITOSHI KIPAPATIO" zanikosha kweli kweli!!!!! Na hii ya "KIZURI KULA NA WENZIO, KIBAYA MPE MBWA" yanichanganya kwelikweli.